Kwa wanaume tu: Kwenda la pili huwa unachukua sekunde au dakika ngapi?

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,573
1,344
Wanaume: Eeeeh eeh😎😎😎
mimi nasema: Wape Bia.

Ninaamini mko poa wakuu hii mada ilibidi ikajadiliwe kule JF Dokta lakini hili jukwa lapendwa

Nguvu za kiume now days ni big deal wakuu, kama huna nguvu za kiume huna budi kuwa nazo ikiwa tu utataka kumfaidi mwanamke kunako 6 kwa 6, bila hivo atasema unamsumbua au kumchafua bure (hii kauli wadada wengi wa sikuhizi huitumia ikiwa amekupa ukashindwa kutawala uwanja pale bed na anaweza asikuambie).

Wakuu huwa ukimwaga ya kwanza huwa unakaa sekunde au dakika ngapi mpaka uende ya pili,?
na una uwezo kuperfom ya pili kwa umaridadi?. Kumbuka pia kuperform ya kwanza nao ni mtihani, misuli legelege hutoa sperm mapema chini ya dakika 5 ushakojoa cha kwanza wakati ukiwa na nguvu unabidi man ukae cha kwanza dakika isiyo pungua 10-15 ndio umwage cha kwanza bila hivo fanya bidii kujitibu tatizo.

point kuu ya hii mada huwa nataka tujue ni vipi unaweza rudi twice bila kukaa muda mrefu, yaani ile wazungu washatoka huna hamu wala ukiicheki haisimami full kibamia mlenda daaah huwa ni fedhea kwa demu na kadhia kwako mwenyewe.

visababishi ni
1.punyeto
2.Kukosaa chakula au mlo bora
3.kula na kunywa vilevi hata madawa ya kulevya.
4. Kazi nzito
5. Mawazo kuwaza sana kabla ya tendo.
6. Kukosa vyakula vya kuongeza hamu kwenye tendo.
Hormone na magonjwa tuweke kando lets talk about hizo external factors hapo juu.

dalili za nguvu za kiume kupungua
1.sperm kuwa ndogo yaani low sperm count.

2. Kuchojoa bao la kwanza dakika chini ya tano, au hata chini ya 10.

3. Sperm kuwa kama maji hii pia ni utasa yaani bao halina afya linatiririka kama maji hata likae sehemu flat.

4.uume mdogo kama wa mtoto yaani kibamia wakuu.

5. Kingine uume kuwa hausimami wima yaani legelege kama sausage au kupinda right or left side ways.

6.Hata ukikohoa au ukifumwa uume unarudi yaaani unasinya na kuwa mdogo.
Zipo dalili nyingi ila hizo ni baadhi

Sasa wapo watakao bisha hapa nakusema nguvu za kiume ni pesa sijui nini na nini.
ndio mimi najua pia pesa ni lazima tena muhimu uwe nayo pia na nguvu za kiume pia lazima.

Huwezi amini wakuu kuna wanawake tena 89.9999% hapa Tz hawajui utamu wa dyudyu kisa hawapati wakuwafikisha kunako ligi kuu. Hii ni kwa sababu mwanamke asipo jua kilele hata umpe mbyooo kumi hawezi jua what does dyudyu mean.

Mimi yupo mmoja aliniambia wengi wanamchafua tu hajawahi juaga ni tamu mpaka nilivo msimamia ndio akajua ladha, but she is only 22 wakuu.
Mwingine ni 28 aliniambia hajawahi sikiaga utamu kabisa but huyu sijamuonja niliomba gemuu akaniambia haoni haja yoyote ya kufanya.

Daah wakuu wengi bado tunafail kwenye nguvu ndio maana hawa dada poa wanazidi kuongezeka hawaoni raha ya kuliwa wasikie raha. Wanaona bora wapigie qyumaa zao biashara.

Somo: tujifunze kuwapa ladies haki zao na tuondoe au tutibu nguvu za kiume angalau bao la kwanza unakojoa Dakika 8 mpaka 12 hivi, cha pili ukiaamua funga kazi sio mbaya.
 
Mnahangaika sana.

Mie hata bao lakwanza napiga kuanzia dakika 30 +

La pili ndo nakuendelea ndo kabisaaa napiga mpaka saa zima au zaidi .

Situmii dawa yoyote ile.

Nanfanya mazoez, kula vzuri basi na sina stress.

Suala la muda gan unachukia kusimamisha baada ya bao lakwanza.....

Tunaita Refractory period , kwa vijana wengi wa miaka 17----26 huwaa ni dakika chini ya tano...juu yahapo inachukua kuanzia dakika 12 --24 wengine ndo saa,, wengine Masaaa, kuna hawa wengine wanachukua siku na siku...

Pombe
Demu mpya
Stress
Kukamia mechiii
Mahangaiko ya Maisha
Magonjwa
Sigara
KUA NA DEMU (GOGO ).
Kupiga Papuchi bao lakwanza ,papuchi haieleweki+harufu ...inakutoa kwa mudi ulonayo....

Haya yote matokeo yake ni kufanya kipindi hiki ( refractory period) kiwe kirefuuuuuu zaidi........ Ndo hapo Demu anakaa kwenye kona ya kitanda, anakuchora anaanza kucheka cheka

Mara muhuni unajifanya umepata simu za dharura, mara unachukua Wallet yako UNAMPA HELAunasepa..

Baada ya kumwaga bao... Oga au safisha mashine kwa maji .,jifutee.

Rudi kwa bed, mwambie akuchezee mashine, ikiwezekana akunyonyee ( ndio akunyonye ), yote kwa yote kichwan uwe uko vzuri.

Yaan kama una uzima wa Afya, basi tambua NGONO INAANZIA KICHWANI.
 
Mkuu mengi hapo ni story za vijiweni..
Mfano, umesema moja ya dalili za kua una upungufu nguvu za kiume ni kua na kibamia, huo ni uongo mkuu uume mdogo hauhusiani na ns izo mambo labda point yako ungeiweka kua kukosa kujiamini.

Kingine umeipiga vita chaputa bila uthibitisho wowote wa kisanyansi, ni kosa kubwa sana hilo ndgu yangu. Punyeto itakuathiri ukiwa mraibu wa iyo kitu, piga kwa kiasi.

Kingine cha muhimu zaidii ulichosahau kwenye uzi wako, ni kumuandaa vyema manzi utaweza piga izo dk 20 zako ukaishia kumchubua mtoto wa watu. We unasukumiza tu bila ujuzi aisee utasanda kijana. Muandae mwenza vizur hata cha kwanza kikiwah atakua nae keshapiga kimoja tayar, then unafidia mbeleni, ukipanda kama punda tu utakimbiwa.
 
Kuna mda nikiwa sijafanya mapenzi km week 2 hivi, Ninaweza kuunganisha,Bao likija nachomoa nafuta na taulo na endelea ila nikifanya hivi,bao la 2 halitoki ng’oo na mapenzi yanaishia kwenye bao moja maana la pili nitakaa hadi saa zima na bado sioni dalili.Tunapumzika tunaanza tena mpk tunaghaili.

Nisipounganisha nakaa dk 5-10 km yeye ndo ananihamasisha ila mimi mwenyewe bila kutamanishwa wala kuhamasishwa ni dk 15.

Mwanamke unayelala nae ndo atasema uchukue mda gani km amezubaa sana midadi inakuwa chini sio sawa na mwanamke mwenye libido ya juu

Hata sex anayoianzisha mwanamke inakuwa tamu zAidi kuliko tunayoanzisha wenyewe

Sasa sijui nani alisema jukumu la kumridhisha mwanamke ni la mwanaume ila huwezi kumridhisha mtu asiyejua anataka nn kwenye mwili wake mbona sisi tunasema tu chuma mboga fanya hivi.

Sasa mtu sio bikra, tuseme mileage inasoma parefu na second hand kwelikweli then mtu huyu hajui hata kujiposition angle ambayo kwake anaona inampa utamu.Wewe sasa uanze guess work tena kwa mtu wa 27+ sio mtoto tuseme hajui lolote na pengine anatarajia wewe ndo umuelekeze.

Mwanamke akijua anachokitaka ni very simple wewe unamuweka style moja ya pili anakuelekeza yeye.Mwisho wa siku Lzm utamu aupate japo kwa tabu sana.

Kuna perfect match kwenye mapenzi ukikutana anayekupenda ni faster tu ,ukikutana nae nyeti zenu zimeendana ni faster tu ila all in all ushirikiano ndo unaleta kuridhishana.
 
Jana nilimtanduka mwanamke mshipa, ile ya kumwaga na kuunganisha juu kwa juu, nafikiri nilikimbia kilomita nyingi si chini ya 70, nikamwaga na kumwaga ila ya nne nilishindwa kila nikivuta mawazo ya kumwaga huku mshipa umesimama kama msumari , mwanamke anapiga kelele sijawahi kuona, na kunibana mgongo hatari, hakika nilimfurahisha yule mwanamke kwa pongezi nyingi, naamini niko vzr
 
Mnahangaika sana.

Mie hata bao lakwanza napiga kuanzia dakika 30 +

La pili ndo nakuendelea ndo kabisaaa napiga mpaka saa zima au zaidi .

Situmii dawa yoyote ile.

Nanfanya mazoez, kula vzuri basi na sina stress.

Suala la muda gan unachukia kusimamisha baada ya bao lakwanza.....

Tunaita Refractory period , kwa vijana wengi wa miaka 17----26 huwaa ni dakika chini ya tano...juu yahapo inachukua kuanzia dakika 12 --24 wengine ndo saa,, wengine Masaaa, kuna hawa wengine wanachukua siku na siku...

Pombe
Demu mpya
Stress
Kukamia mechiii
Mahangaiko ya Maisha
Magonjwa
Sigara
KUA NA DEMU (GOGO ).
Kupiga Papuchi bao lakwanza ,papuchi haieleweki+harufu ...inakutoa kwa mudi ulonayo....

Haya yote matokeo yake ni kufanya kipindi hiki ( refractory period) kiwe kirefuuuuuu zaidi........ Ndo hapo Demu anakaa kwenye kona ya kitanda, anakuchora anaanza kucheka cheka

Mara muhuni unajifanya umepata simu za dharura, mara unachukua Wallet yako UNAMPA HELAunasepa..

Baada ya kumwaga bao... Oga au safisha mashine kwa maji .,jifutee.

Rudi kwa bed, mwambie akuchezee mashine, ikiwezekana akunyonyee ( ndio akunyonye ), yote kwa yote kichwan uwe uko vzuri.

Yaan kama una uzima wa Afya, basi tambua NGONO INAANZIA KICHWANI.
Bosssssssssss umemaliza vyote daaah wewe jamaaa inabidi nikuone kwanza upate accolaide you deserve it. Salute mwamba.
 
Mkuu maji ya vuguvugu au baridi?.. tusaidie mkuu tusaidie tu wengine tukiingiza tu short tiyari tunashida mkuu tupo chini ya miguu yako
Maji ya Baridi tu yaan yakawaida haya tunayooga .

Kwa inshu yako, ,,.nunua asali, unga wa mdalasini,unga wa tangawizi, changanya uwe unalamba kijiko kimoja mpaka viwili asubuhi na jion...

Fanya mazoezi ya kutafuta pumzi

Unapoona shahawa zinataka kutoka, chomoa mashine njeee, ibane na vidole, uku ukitumia dole gumba, kua kama unapikicha au kusugulisha kichwa cha mashine lile eneo lenye shingo na kichwa... Au chomoa alafu iloweke mashine kwenye maji km dakika moja ivi au mbili, alafu rudi uendelee.

Achana na Staili ambazo unatizamana na mwanamke uso kwa uso yaan staili ambazo Mwanamke yupo chini

Kunywa maji ya kutosha.

Ukishindwa tumia ndomu.
 
Kuna mda nikiwa sijafanya mapenzi km week 2 hivi, Ninaweza kuunganisha,Bao likija nachomoa nafuta na taulo na endelea ila nikifanya hivi,bao la 2 halitoki ng’oo na mapenzi yanaishia kwenye bao moja maana la pili nitakaa hadi saa zima na bado sioni dalili.Tunapumzika tunaanza tena mpk tunaghaili.

Nisipounganisha nakaa dk 5-10 km yeye ndo ananihamasisha ila mimi mwenyewe bila kutamanishwa wala kuhamasishwa ni dk 15.

Mwanamke unayelala nae ndo atasema uchukue mda gani km amezubaa sana midadi inakuwa chini sio sawa na mwanamke mwenye libido ya juu

Hata sex anayoianzisha mwanamke inakuwa tamu zAidi kuliko tunayoanzisha wenyewe

Sasa sijui nani alisema jukumu la kumridhisha mwanamke ni la mwanaume ila huwezi kumridhisha mtu asiyejua anataka nn kwenye mwili wake mbona sisi tunasema tu chuma mboga fanya hivi.

Sasa mtu sio bikra, tuseme mileage inasoma parefu na second hand kwelikweli then mtu huyu hajui hata kujiposition angle ambayo kwake anaona inampa utamu.Wewe sasa uanze guess work tena kwa mtu wa 27+ sio mtoto tuseme hajui lolote na pengine anatarajia wewe ndo umuelekeze.

Mwanamke akijua anachokitaka ni very simple wewe unamuweka style moja ya pili anakuelekeza yeye.Mwisho wa siku Lzm utamu aupate japo kwa tabu sana.

Kuna perfect match kwenye mapenzi ukikutana anayekupenda ni faster tu ,ukikutana nae nyeti zenu zimeendana ni faster tu ila all in all ushirikiano ndo unaleta kuridhishana.
For sure mkuu ndo maana Kuna mada nlianzisha juzi kuwa ..watu wagawane majukumu kitandani ..Yan wapeane ushirikiano ...bila hivyo. .lawama zitapelekwa sehemu isiyo sahihi ..na sisi wanaume ndo tunalaumiwa zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom