pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku ya pili hii nalalia mhindi wa kuchoma na Maji. Naona kama ni kutaka tafutana ubaya

    Jana asubuhi shem aliniambia nisipeleke watoto shule. Atawapitisha yeye. Nikaamka saa 4 naenda mezani chai hamna. Namuuliza dada wa kazi ananiambia shem alimaliza. Mchana hakikupikwa kitu. Nikanyamaza. Usiku nikaona wanatengewa watoto chips kuku mimi nimesubiri mpaka saa 3 holla. Wameenda...
  2. JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Normandy(6.6.1944)-operesheni kubwa zaidi ya kijeshi ya Ushirikiano(US&UK)iliyosaidia kumaliza Vita vya Pili ya Dunia

    Uvamizi wa Normandy (1944) - Hii ilikuwa operesheni kubwa zaidi ya kijeshi ya Ushirikiano wa Magharibi katika Vita vya Pili ya Dunia. Uvamizi huu wa majeshi ya Marekani na Uingereza ulianza mnamo tarehe 6 Juni 1944, na ulikuwa hatua muhimu katika kumaliza vita hivyo. Uvamizi wa Normandy, ambao...
  3. JamiiForums Tanzania Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

    Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina. Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾 Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

    Hi, Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni umuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa. Mara ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaosherehekea Hadhi Maalum kwa Diaspora hamjaangalia upande wa pili wa sarafu

    Wana Diaspora Nimeona ndugu zetu wengi sana hususan wale waliopo USA wanasherehekea sana juu ya ujio wa Hadhi maalum kwa diaspora, kiasi kwamba nahisi mnashindwa kuangalia upande wa pili wa sauli hili. Kwa sababu hiyo basi naomba kuweka point chache tu ambazo tunabidi sote tuzielewe. Kwanza...
  6. JamiiForums Tanzania Donald Trump kufikishwa Mahakamani kwa mara ya pili

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za Serikali. Wakili wa Trump ameweka wazi kuwa Mwanasiasa huyo atafika Mahakamani hapo Juni 13, 2023 lakini kwa sasa wanasubiri Hati ya...
  7. JamiiForums Tanzania Based on true story: Mahaba yalivyonipeleka kwenye Jamii za Siri Ulimwenguni

    Ni miaka 7 Sasa tangu atangulie mbele za haki mama huyu wa kizungu anaitwa, Charlotte Nelson William. Charlotte Nelson William, enzi za uhai wake katika jumuiya ya Freemason nchini uingereza. Miaka ya nyuma niliwahi kufanya kazi za ufundi gari, lakini nikiwa Kama kibarua wa muda, yaani day...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa CAF katika Kombe la CAFCC huwa hawatoi Medali kwa Mshindi wa Pili?

    Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda. Kudadadeki....!!
  9. JamiiForums Tanzania Tuitazame kauli ya Ally Kamwe kwa upande wa pili wa Shilingi

    Ni kijana tu kaghafilika ndiyo maana ameomba radhi. Yes alicho kifanya Ally Kamwe huenda kimeleta ukakasi lakini hebu tulitazame hili kwa jicho la pili. Wakati Mwingine Nchi hii usipojitoa ufahamu wanaweza kukuzoea wakakuchukuliwa poa kwahiyo wakati mwingine ni kuishi nao wanavyotaka wao. Juzi...
  10. JamiiForums Tanzania Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

    Usije kujidanganya hata siku moja kwamba mwanamke atakupenda kuzidi watoto au mtoto wake, tena yule wa kwanza huwa ana nafasi yake maalum huwezi mwambia mwanamke chochote kuhusu mtoto wa kwanza aliejifungua, huyu ndie anampa heshima kwa mara ya kwanza kuitwa mama. Na ndio hapa tunapotoaga onyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Joseph (BORN 1973) mtoto wa Pili Athanas na Patric (BORN 1973) mtoto wa Wanjila Zakharia mnatafutwa na Baba yenu

    Habari za leo wanajamvi, NINATUMA UZI HUU KUFUATIA UZI Nilioutuma Novemba 2008: Bado sijawapata ndugu zangu Joseph na Patrick (Watoto wa Afande Lemson Jonas Mgalla aka Afande SOKOMOKO WA MSALATO): 1. Patric ambaye mama yake ni Wanjila Zakaria. Patric alizaliwa Dodoma mwaka 1973 maeneo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ni mara ya pili sasa nachapiwa

    Habari wakuu Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Sera ya uchaguzi CHADEMA 2020. Ugatuzi wa madaraka, sura pili ukurasa wa 12

    Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo. Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa) Kwa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, na watendaji. Vyama vyote viwili vinashabiiana...
  14. JamiiForums Tanzania Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

    Habari za wakati huu wakuu, Ni nusu mwaka sasa tokea kuwa "The Storyteller" aliyestahili tuzo humu jukwaani. Ni muda mrefu sana umepita tokea pale nilipoifahamu na kujiunga na jumuiya, japokuwa mlio wengi mtachungulia kwa profile ili kuona lile neno "joined Nov 2022", JF nimeifahamu kwa zaidi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kichwa hiki kinasema: Inavyoonekana wasomi viongozi wa nchi za magharibi wamesahau ni nani aliyeushinda utawala wa unazi kwenye vita kuu ya pili

    Western elites have forgotten the consequences of the Nazis’ “insane ambitions,” Russian President Vladimir Putin said during his Victory Day Parade speech on Red Square in Moscow. “The globalist elites keep insisting on their exceptionalism; they pit people against each other, split societies...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Fainali waliyofika makolo ya kombe la Comred Abiola hawakutoa medali za mshindi wa pili

    Mwenye ufafanuzi wa hili jambo atupe elimu kidogo. Inawezekanaje mshindi wa pili wa kombe akakosa medali??
  17. JamiiForums Tanzania Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

    Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata...
  18. JamiiForums Tanzania MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake

    Nikiwa raia na mwananchi wa kawaida mpenda maendeleo, naandika barua hii kwa ajili ya mkoa wa Mwanza, ningependa sana kama Raisi wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hassani ukapata ujumbe huu. Basi hata kama kuna watu wapo karibu naye na wakasoma ujumbe huu basi wamfikishie. Au kama atabahatika...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ninunue aina ipi na nizitunze vipi cadet na jeans zikae walau mwaka?

    Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka/rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengele ni nguo. Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanza ni Jiji la pili kwa ukubwa na wingi wa watu lakin Barabara ya Kenyatta ni mbovu na haina hadhi kabisa

    Ninamasikitiko sana ingawa Mwanza ni Jiji la pili baada ya Dar lakini barabara ya Kenyata ni mbovu sana kuliko barabara zote kuu za Tanzania. Serikali inatakiwa iiangalie hii barabara kwa jicho la kipekee, barabara inatakiwa ifumuliwe yote kuanzia Mwanza mjini hadi Shinyanga boarder km 104 na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…