pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Lakini si tulikubaliana kuwa tukiwachokoza kwa mara ya pili ndipo mtutukane?

    Sasa shida ni nini mpaka mnakiuka utaratibu? The storyteller wenu nimefall in love kwa kabinti kadogo dogo ka QT. Kutokana na mitego kaliyokuwa kakinielekezea, ya kufunga khanga vibaya mbele yangu, kujikwaa huku akitoa mgugumio wa maumivu ya ukuni, vibodi vyake vya v pana, bila kusahau mbususu...
  3. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yesu Wa Tongaren Asema Hakuna Palipo Andikwa Katika Kitabu Takatifu Kuwa Atasulubishwa Mara Ya Pili

  4. Logikos

    JamiiForums Tanzania Uraia Pacha na Uraia wa Pili (Dual and Second Citizenship)

    Tofauti kati ya Dual na Second Citizen Mtu anaweza kuwa na uraia wa nchi tofauti mbili (dual au Second Citizen) au hata zaidi ya hapo kama nchi ambazo ana uraia zinaruhusu mtu kuwa na uraia zaidi ya nchi moja. Uraia Pacha: Muhusika anatambuliwa na nchi zote mbili, analipa Kodi na hata kufanya...
  5. Triple G

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mkulima wa Pili pili kichaa aina ya African Birds Eye (ABE)

    Hello Habari! Mwenye connection na wakulima wa Pili pili kichaa zile kali fupi nyekundu aina ya African Birds Eye chill (ABE). Please naomba unicheki.
  6. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kutinga robo fainali kwa kishindo, timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinahaha kumkwepa

    Nimepenyezewa za chini ya kapeti. Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa Bongoland. Kuna wengine mpaka wakaamua kuwaconsult maofisa na mashabiki wa Ile timu iliyopigwa nje ndani...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Endeleeni Kujidanganya kuwa mtakacheza nao nafasi ya Pili ni timu dhaifu

    Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine. Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanaume, hawa wanawake walindwe huko walipo dhidi ya lile kundi la pili

    Sabato njema. Sitaki porojo la kuandika maneno mengi, weka bundle wasikize mwenyewe. No. 1
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliotoa Ripoti ya Pili Ajali ya Precision Air wenye Akili tunajua Mamlaka imekwepa Uzembe wake na kutupa lawama kwa Marubani waliokufa

    Nimezipitia sababu zenu nane katka Ripoti yenu ya Pili mliyoitoa leo na kugundua kuwa, japo mmezunguka sana ila ukituliza kichwa ni kama vile 98% ya lawama mnazielekeza kwa Marubani ambayo bahati mbaya pia walifariki dunia siku ya ajali. Kama GENTAMYCINE baada ya ajali nilijitahidi kutafuta...
  10. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi wa kiislamu hasa wa kike hawataki watoto zao kuolewa mke pili

    Wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan unakaribia vijana wanavuta jiko na wengine wanaongeza mke wa pili,tatu mpaka wa nne kama dini inavyoruhusu. Kuna tukio limetokea juzi mama wa binti ni muislam Safi tu na mumewe ni shekh mkubwa Ila mama wa binti amekataa mtoto wake kuolewa mke wa pili, Je hii...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa ushindi huu wa Simba, Raja hawawezi kupanga kikosi cha pili, hivyo Simba mjipange

    Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu. Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika kubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu. Muda...
  12. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Nimeota Simba atapigwa 5 ila atafanikiwa kurudisha kipindi cha pili, Sijajua ni kati ya Horoya au Raja Casablanca

    Wakuu, Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca. NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
  13. felista nangawe

    JamiiForums Tanzania Kuweka appointment Ubalozi wa Ujerumani kwa mara ya pili (Rebooking appointment)

    Habari! Naombeni mawazo ya nini nifanye kuweza kubook appointment ubalozi wa ujerumani kwa mara pili. Niliweka appointment ya kwanza wakasema kuna document ya muhimu sina (blocked account) nifungue alafu nibook appointment tena. Nikijaribu kubook appointment inaniletea huu ujumbe 👇🏽👇🏽 "the...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilidhani ningefika nao upande wa pili lakini ajali zinatokea

    Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni. Rais amesema alitamani team yake ya awali amalize nayo hadi kufika ngwe ya pili (Muhula wa pili wa...
  15. Engager

    JamiiForums Tanzania Simba tutamaliza Nafasi ya pili kundi C

    March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5. March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9. March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra viongozi wetu kuzindua miradi bila kusikia, 'kwa Afrika huu ni wa kwanza, pili au tatu?'

    Hili jambo kwa muda nimekuwa nimekuwa nikilishuhudia mara kwa mara pale viongozi wetu wanaposhughulika na miradi yetu na vyombo vya habari kuwasogelea. Binafsi sijisikii kuipenda sana hii tabia. Hata Ayoub Riyoba nimemsikia leo anasema SGR yetu ni ya kwanza kwa Afrika. Kwanini hivi...
  17. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili alishawahi kumdhihaki MUNGU kisa Mwanamke

    Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa ni 2019. Watu wengi walijaribu kumkanya afute kauli yake -akiwemo Bill Nas na Pastor Mmoja hivi...
  18. Verified

    JamiiForums Tanzania Nje ya box: Verse 1 (Nikki wa Pili)

    Mungu nijalie demu mpenda pesa Kila siku nipigane kuwa Bakhresa asinipende mimi apende Verosa Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa Malighafi ya suruali si boxer Siri nyingi mahali dingi alikosa Demu wa shida na raha na misoto sana, Huyo demu hanifai changamoto hana, ikiwa demu wako anapenda...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule za Musoma vijijini - 2

    SEHEMU YA PILI YA TAARIFA YA KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI Sehemu ya Kwanza ya Taarifa ya Kikao hicho: Sehemu hii ilitolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo. *Mahali inapopatikana ni kwenye TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani huulizwa kwa nafasi ya Msaidizi wa Hesabu II?

    Wakuu naomba kujua aina ya maswali ambayo uwa yanaulizwa na utumishi kwa kada ya msaidizi wa hesabu daraja la pili both writen and oral.
Back
Top Bottom