Sera ya uchaguzi CHADEMA 2020. Ugatuzi wa madaraka, sura pili ukurasa wa 12

Ibrah wa kiwira

Senior Member
May 17, 2023
179
167
Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo.

Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa) Kwa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, na watendaji.

Vyama vyote viwili vinashabiiana kwenye Nia ya kurudisha mamlaka Kwa wanainchi, Ivo ni wazi kuwa ilo ni jambo jema

Utofauti upo kwenye namna ya kurudisha mamlaka kwenye serikari za mitaa. Mimi naona namna nzuri ni ile ya CHADEMA, ambayo inasema wanainchi wamchague nani awaongoze, Ili wawe na mamlaka ya kumuwajibisha, mashirika ya maendeleo wayaunde wao, Ili yawajibishwe na wao, vyama vya wafanyakazi viwe kimajimbo, mapato ya mahali Pao yakusanywe na wao, na yatumie na wao, japo serikari ipewe asilimia kidgo Kwa ajili ya kiserikali na kusaidia maeneo yasiojiweza. (Huo ndo utawala wa kimajimbo).

Lakini mfumo wa CCM ni WA ovyo, uteuzi wa Rc na DC, kutuletea mashirika ya ovyo kama TAWRA, TARNROAD, TANESCO, ni ovyo tu. Leo walimu wanalia na CWT, yote haya yasingekuepo, mambo ni mengi kwenye hili.
CHADEMA UP..., UP UP UP MORE
 
Lakini mfumo wa CCM ni WA ovyo, uteuzi wa Rc na DC, kutuletea mashirika ya ovyo kama TAWRA, TARNROAD, TANESCO, ni ovyo tu. Leo walimu wanalia na CWT, yote haya yasingekuepo, mambo ni mengi kwenye hili.
 
Back
Top Bottom