Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Usije kujidanganya hata siku moja kwamba mwanamke atakupenda kuzidi watoto au mtoto wake, tena yule wa kwanza huwa ana nafasi yake maalum huwezi mwambia mwanamke chochote kuhusu mtoto wa kwanza aliejifungua, huyu ndie anampa heshima kwa mara ya kwanza kuitwa mama.

Na ndio hapa tunapotoaga onyo kwamba linapokuja suala la ku date ama kutaka kumuoa single mom hakikisha sana umemchunguza vizuri mwanaume mwenzako aliemtunga mimba ya kumpa mtoto wa kumpa heshima ya kuwa mama, mapenzi ya mama kwa mtoto atafanya chochote kwajili ya furaha ya mtoto, mtoto akitaka aonane na baba yake mama yupo tayari kujishusha hata kama hawaelewani na mzazi mwenzake, mama yupo tayari kufanya chochote ilimradi tu aone mtoto wake ana furaha.

Kama mwanaume mwenzako bado ana kiu na huyo mwanamke ama anataka kukukomoa basi ni rahisi sana amtumie mtoto kupasha kiporo na huyo unaemwita mke wako, zuia wawezavyo lakini mbele ya mtoto mama atapata upenyo na ukibana sana basi utaja kuona upande wa mkeo ambao hujawai kuuona mithiri ya tetea anavyojitoa mhanga kupigana na mwewe bila kujali kazidiwa nguvu , hata awe mpole ataliamsha dude ambalo hukuwahi kuliona !! huko kwa mwenzako akishaweza kujua kuntumia mtoto basi hio ndio sarafu yake ya kuweza kum controll mkeo, hata kama mwanamke hapendi lakini atafanya kama sharti la kutimiza wajibu wake ili mtoto aweze kuwa karibu na baba yake.
 
Usije kujidanganya hata siku moja kwamba mwanamke atakupenda kuzidi watoto au mtoto wake, tena yule wa kwanza huwa ana nafasi yake maalum huwezi mwambia mwanamke chochote kuhusu mtoto wa kwanza aliejifungua, huyu ndie anampa heshima kwa mara ya kwanza kuitwa mama.

Na ndio hapa tunapotoaga onyo kwamba linapokuja suala la ku date ama kutaka kumuoa single mom hakikisha sana umemchunguza vizuri mwenzako aliemtunga mimba ya kwanza na kumpa heshima ya kuwa mama, mapenzi ya mama kwa mtoto atafanya chochote kwajili ya furaha ya mtoto, mtoto akitaka aonane na baba yake hata kama wazazi wa mtoto hawaelewani basi mama yupo tayari kufanya lolote kwa ex wake huyo ilimradi tu aone mtoto wake ana furaha,

Single Mom hawezi kukupenda sawa au zaidi ya mtoto wake wa kwanza aliempa heshima ya kuwa mama, Kuna vitu atavyofanya kumpa furaha mtoto ujipange
Jamaa ana kitu huyu asipuuzwe..

Hoja yake inamshiko.
 
"ALIEMPA HESHIMA YA KUWA MAMA" Uzi mzima upo hapo mkuu. Ukilijua hili hutahangaika na single mother anymore.

Wajinga wanaendelea kupagawishwa na ufinyiaji wao wa ndani. Mtakufa vibaya
 
Screenshot_20230526_165740.jpg
 
Back
Top Bottom