Dereva wa bajaji na pikipiki ya mkataba anahitajika

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
5,264
10,818
Habari wanna jamii forums, katika harakati zangu za utafutaji nami nikaona sio mbaya kuanzisha kikampuni changu kidogo Cha usafirishaji.

Lengo ni kuendelea kujikomboa na circle ya umasikini, na hivyo nimeamua kuzitoa bajaji na bodaboda kwa kijana ataye weza kuendana na taratibu na sheria zetu.

👉Bajaji iliyopo ni namba b TV's, IPO vizurii kwa maana engine bado imara Sana na hata body yake ni ngumu bado.

👉 Bodaboda IPO namba c na d na zote ziko vyema so kwa atakaye hitaji au kuwa na ndugu mwenye uhitaji basi atanijuza hapa au pm.🙏

👉 I mean no malice to nobody

Screenshot_20230224-022249_1.jpg
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom