Je, Guta zilizofungwa engine za pikipiki ni vyombo vya moto?

kapicha tafadhali....
pili mamlaka zetu zinasubiri ajali zianze ndipo zitoe muongozo wa guta hizo..... madereva wengi wanaendeshea uzoefu
 
Mi nashauri hata pikipiki zenyewe zianze kuishi kama baiskeli tu.

Zisisajilowe wala nn. Aaani kuziagiza iwe kama kuagiza Tv au friji tu.

Si mnakumbuka hadi baiskeli zilikuwa na sheria sijui taa ushuru sijui nini baadaye tukaziacha. !!??
 
Tatizo la pikipiki inabidi ufuaye sheria za barabarani, sasa ukizivunja utapigwa faini vipi bila usajili?
 
Back
Top Bottom