picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushawahi kupost bahati mbaya picha au video ya ngono kwenye group la familia au ukoo?

    Yaaani unatamani kuvunja simu lakini ndio huwezi yaaani unabaki kuleft tu.
  2. JamiiForums Tanzania Simujanja zimeharibu wake za watu. Wanashinda wanapakuwa picha za ngono na kujifunza uchafu kupitia wassapu

    Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu. Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na kutupana wassapu huku wakijifunza uchafu. Wameharibia kabisa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha za kwanza za mjane wa Rais wa Haiti akiwa hospitalini Florida

    Mwanamama mjane wa rais wa Haiti Jovenel Moise, Martine Moise 47 akiwa kitandani Hospitalini Florida Marekani. Kwa majonzi amewalaumu maadui wa mume wake kwa kumuua kikatili bila hata kumpa fursa ya kuongea. Martine anasema wamezima ndoto ya Jovenes kuleta huduma za kijamii miundo mbinu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Bango la wiki

    Sisi wa mtandaoni na tutoe picha za roll royce kwenye status zetu, tuende na hili bango
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
  6. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Kinachoendelea Afrika Kusini

    Kinachoendelea Afrika kusini ni baada ya kuwepo kwa: 1. Uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership. 2. Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana. 3. Ukosefu wa ajiri uliopitiliza. 4. Watu kuwa na chuki pamoja na...
  7. JamiiForums Tanzania Weka caption kwenye picha hii ya dereva

    Hapa mmefika mto Wami au pale kitonga alafu usikie dereva anatoa tangazo kama hili [emoji116][emoji116] "Nilikwambia uachane na mke wangu lakini hukusikia" [emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848]
  8. JamiiForums Tanzania Mwezi wa 4 sasa simu yangu sina picha au video yoyote ya ngono

    Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea. Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup...
  9. JamiiForums Tanzania Watu 38 wauawa na radi wakijipiga picha ‘selfies’ India

    Takriban watu 38 wamefariki dunia kwa kupigwa na radi ambapo 11 kati yao walikuwa wakipiga picha (Selfie) katika jengo la Kitalii la Amber Fort wakati mvua inanyesha Katika matukio mengine, watu 18 walifariki kwa radi huko Uttar Pradesh ambapo imeelezwa wengi wao ni Wakulima. Pia, Polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Rasmi Yanga yamsajili Djuma Shabani

    Klabu ya Yanga imefanikiwa kumsainisha beki Djuma Shabani akiwa mchezaji huru Kwa mkataba wa miaka miwili. Kulikuwa na tetesi kuwa huenda Djuma Shabani asingekamilisha dili hilo na badala yake angeelekea kunako Klabu ya Rs Berkane kuungana na kocha wake Florent Ibenge aliyejiunga na timu hiyo...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba anapoinadi mechi ya Simba na viwalo vya New York Yankees

    Msemaji wa Simba alipokuja redioni kuinadi mechi ya Simba na Yanga majuzi, akiwa na advataizi ya mavazi ya timu ya mpira wa baseball ya New York Yankees
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni picha ya kuchora, inamuonyesha binti mtumwa kutoka Afrika akiwa Uarabuni

    Inauzwa katika minada ya antique, ni picha chache za kuchora ambazo bado zinapatikana. Nimevuta hisia, maisha way huyu binti si ajabu hajui hata wazazi wake walipo. Sura yake haionyeshi furaha bali ina ujasiri. Ni mara chache sana kuona kumbu kumbu za Watumwa waliokwenda Arabuni. Wengi wao...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Tazama mchanganuo wa nafsi katika lugha ya kiswahili na Kiingereza

  14. A

    JamiiForums Tanzania Picha wanazipenda kuchukua Watalii kama kumbukumbu ya utalii wao Afrika

  15. JamiiForums Tanzania Sea Food is the best

    Macho makavu
  16. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kupitia hii picha?

  17. F

    JamiiForums Tanzania Ipe maneno picha hii

  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Mkuu wa Wilaya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Morogoro Sheilla Lukuba Kwa Mgambo Kuwapiga Wamachinga

    Rais Samia kawatumbua kwa kuwashambulia Machinga mtaani mkoani Morogoro. Aliyetumbuliwa ni Bakari Msulwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro na Sheilla Lukuba Mkurugenzi Morogoro. NI kutokana na Mgambo kuwapiga Machinga. Pia amesisitiza ajira zote zinazokuja za Ma-DC zijazo zitakuwa za vijana.
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada mwenye prospectus ya Open University softy copy, au kama Hard copy anipigie picha programs zote za Social Sciences

    Habarini wadau, Naombeni Msaada kulingana na nilivyoeleza hapo juu. Mwenye nayo anitumie kwa email; unclekaso@gmail.com au WhatsApp Na. 0739947397 Nimejaribu kuitafuta kwenye website ya chuo haifunguki. Ahsanteni
  20. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

    Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams Sasa unaambiwa wachezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…