picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta wachoraji wa picha kama hizi za rangi ya maji

  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

    Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI Duuuh 😥😥😥😥 Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

    Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: CHADEMA ipo mioyoni mwetu

  5. Shark

    JamiiForums Tanzania Picha zaidi zinazodhaniwa kuwa za Mhalifu wa Selander

  6. B

    JamiiForums Tanzania Tukio la msomali linatupa picha gani juu ya ugaidi..

    Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi. Kama ni issue za ugaidi basi kuna somo la kujifunza ...kubwa...kumtambua fake gaidi na original gaidi.
  7. akilinene

    JamiiForums Tanzania Unajifunza nini kwenye picha hii?

    Angalia picha hii na jifunze jambo na uepuke lisikutokee.
  8. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ya kitu kilichokuvutia mpaka ukakipiga picha

    Mimi nilikutana na huu mto nikavutiwa na mazingira yake nikaamua kupiga picha.Huu unaitwa mto nzovwe.Sio lazima yawe mazingira tu bali kitu chochote ambacho kilikufanya uwe interested nacho.Watu,wanyama,cha msingi isiwe tu picha ya mtu akiwa bafuni anaoga
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wakatwa tozo la miamala katika picha

  10. U

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Katika Picha: Mzee Ally Hassan Mwinyi, mkewe & watoto wao akiwamo Rais Hussein Mwinyi

    Picha ya kutambo Mzee Mwinyi Akiwa na familia yake
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

    Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi. Idadi hiyo ya watu inatajwa kuwa zaidi ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Hiki ni kiumbe gani? (Kama samaki mtu mdogo) nimekuta home

    Salamu za asubuhi, hiki kiumbe nimekuta kimefukiwa nyumbani kwangu sehemu ya kuingilia kibarazani bado sijaelewa ni kiumbe gani. Msaada kwa ambae amewahi kukutana na kitu Kama hiki. Ukiangalia kwa umakini utaona mkia Kama wa samaki, kichwa Kama binadamu na mikono kabisa.
  13. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Inside a US transport taking off from Kabul

    Haya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hawa watoto wetu wangejua tunayopitia ili upate ada ya shule na mkate mezani, wangesoma kwa bidii

  15. Hat-Trick

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Wanaume wenye mvuto World wide. Tupia picha Only Handsome men

  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Dkt. Ghalib Bilal akitunuku Shahada NMIST, awataka wahitimu kuwa chachu ya mabadiliko

    Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya 4 Dkt. Gharib Mohamed Bilal katika maafali ya 7 ya kutunuku shahada za Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela amewataka wahitimu hao kuwa chachu ya mabadiliko katika kukuza uchumi wa nchi. Chanzo: DarMpya Twitter
  17. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Kumbe hii kitu ipo tokea zamani

    Mimi kila siku ninapoona na kusikia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania kuwa wanaume waonywa kuwa wasinyonye maziwa ya wake zao ambayo ni chakula cha watoto basi nilikuwa nafikiri kuwa huu ujinga upo hapa Tanzania tu kumbe upo tokea enzi za utawala wa Roma.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

    Wasalaam Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao. Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu zinaposambaa hizi picha. Wazazi tatizo ni malezi au ndo utamaduni wetu unayumba. Niliwahi kwenda India...
  19. hiram

    JamiiForums Tanzania Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

  20. TIASSA

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwaajili ya picha za watu wanao fanana

    Peter Msechu aka Tumbo naona kama kafanana kidogo na Mheshimiwa Tundu Lissu
Back
Top Bottom