Simujanja zimeharibu wake za watu. Wanashinda wanapakuwa picha za ngono na kujifunza uchafu kupitia wassapu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu.

Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na kutupana wassapu huku wakijifunza uchafu. Wameharibia kabisa.
 
Hiyo kawaida sana, tena huyo mwanamke mbinafsi sana angetakiwa waangalie na mumewe.
 
Acha ushamba basi...huko ndo kila mtu anajifunzia huo unaita uchafu..au ww mapenz umezaliwa unayajua
 
mkuu naona unakiswahili kizuri ila uwasilishaji wa ujumbe ni F. ebu jaribu kuongeza moto nyama ilainike walau kibogoyo aweze mumunya.
 
Achana na picha za ngono, hiyo inaweza kua kawaida coz pia wanaume wengi wanaangalia.

Ishu ni kua hizo groups wanafundishana malimbwata na madawa ya hovyo yanayowaaribu wao wenyewe, kuna na hao makungwi wao wanawadanganya kinoma.
 
Back
Top Bottom