Hii ni picha ya kuchora, inamuonyesha binti mtumwa kutoka Afrika akiwa Uarabuni

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Jun 29, 2021
215
485
1625466653414.png

Inauzwa katika minada ya antique, ni picha chache za kuchora ambazo bado zinapatikana. Nimevuta hisia, maisha way huyu binti si ajabu hajui hata wazazi wake walipo. Sura yake haionyeshi furaha bali ina ujasiri.

Ni mara chache sana kuona kumbu kumbu za Watumwa waliokwenda Arabuni. Wengi wao walitoka Pwani ya Afrika Mashariki.
 
Moja Kati ya picha kali unaweza iweka hata ofisini ,
nazani rich African-American wakiiona watainunua hata kwa gharama kubwa . Kwa sababu wanajua thamani yake
 
Mbona sio binti huyo,angalia shingo na adam apple.

Huyo ni wale waliokuwa wanakatwa uume na Ottoman Sultans.

Nadhani wanaitwa Aunuchs kama sikosei.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom