Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania.
Twende pamoja
Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni
Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku
Kahama jioni ya tarehe 25 Desemba 2025
Maandamano Tegeta 25 Desemba 2025 saa 2. Usiku
Taarifa za maeneo mengine ya nchi zinafuatiliwa na...
Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani
Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya.
Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani
Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya.
Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo
Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake?
Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi .
Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa...
MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku akitoa maagizo mazito kwa uongozi wa kituo hicho kuhakikisha gari hilo linatumika kikamilifu kwa lengo la...
Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu.
Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja kawasilisha kwa binti msumi.
kumbe mnaenda kwenye magazeti na media uchwara kuhadaa watu sijui mumeongea...
Picha ya kwanza ( Sisi)
Vitambi vya maana- Hii ni ishara ya mtu asiyejali mwili wake na kuendekeza kula na kulala.
NI ishara ya mtu mvivu ambaye haumizi kichwa chake kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili ila anayeendekeza njaa na shibe ya tumbo tu.
Picha ya pili (Wao)
Miili nadhifu...
Anaandika Godlisten Malisa
Hii inaweza kuwa political spinning tu. Kwenye strategic communication & media framing kuna kitu kinaitwa “biased interpretation” yani kutafsiri picha kwa upendeleo ili kuunda taswira chanya kwa jamii.
Hujawahi kuona mtu anapiga picha na mtu mashuhuri halafu...
Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.
Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.
Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU...
Mambo vipi wana JF.,.
Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS.
Sasa...
Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja.
Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni viongozi wakuu na waandamizi Kwa vyama vyao.
Kutoka kushoto mstari wa Mbele ni Stephen Wassira, William...
Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza.
Hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo kama kuna ambao...
Taswira ya maadhimisho (ambayo hayafanyiki) ya Miaka 64 ya Uhuru nchini Tanzania baada ya polisi kujaa mitaani kudhibititi maandamano yaliyopangwa kupitia mitandao ya kijamii.
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
===
Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha.
Hii haiwezi kuisha hadi samia aishie, kama anasema amepata kura 98% sasa kesho tutaona hao milion 32...
Majambazi yakirandaranda yaliuwa mpaka wale ndugu zetu wenye matatizo ya akili hili roli kwenye picha ya kwanza ndio lilikuwa ambulance yao ya majeruhi na marehemu.
Gladhabu ya waandamanaji
1.Moja ya vituo vya ubagazaji kura kikiwa kimebaki gofu.Hii sehemu ilitumika kufanyia uwizi wa kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.