Asalaam,
Kuna uzi wangu niliupost huko nyuma ukisomeka. Nimekataliwa kisa mwanachuo.
Haka kadogo bwana, nlikaelewa na kama kangeonesha response nzuri mkuu ninge settle tufanye maisha.
Miezi kadhaa iliyopita tulikwazana sikumbuki jambo llikuwa gani, nikampotezea sababu nahisi ye ndo alikuwa...