picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

  2. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

    Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu. Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya. Tulipiga...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi wa kuweka picha mbalimbali za Ndugu Fiston Mayelle

    Hamjamboni nyote Huu Ni uzi maalumu kwa ajili yetu sote Naomba moderator muuache uzi huu Kama ulivyo Naomba mwenye picha mbalimbali za Ndugu yetu Fiston Mayelle atuwekee tupate kumfahamu vema Karibuni
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo mkali akiendesha basi la Tilisho

  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Msanii wa bongofleva akiwa amepozi na ametokelezea

  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

    Bujibuji Simba Nyanaume a.k a Deebo... mapafu ya Faru mbavu 109
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mbaroni kwa kuiba bango lenye picha ya Rais Samia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa shutuma za kuiba bango lenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na vitambaa vyenye rangi ya bendera ya Taifa ambavyo hutumika kupambia jukwaa. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Fortunatus Muslim amesema waliokamatwa Emanuel John...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtalaamu wa masuala ya uvuvi akifanya kazi kwa mihemuko

  10. U

    JamiiForums Tanzania Uzi mahsusi wenye picha za Inspector Mwala akiwa na marafiki zake mbalimbali

    Hamjamboni nyote! Nimeambatanisha picha mbalimbali Niwatakie Sabato Njema Karibuni
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa mrembo Roza Georgeyevna Shanina, mdunguaji bora kabisa wa Jeshi la Urusi aliyeua watu 54

    Mfahamu kwa picha Bi Roza Georgeyevna Shanina Mdunguaji Bora Kabisa wa Jeshi la Urusi aliyeua watu 54 Hamjamboni wadau Ni mdada mrembo kabisa kwa muonekano aliyehudumu kwenye kikosi maalumu cha Wadunguaji (Snipers) wa Jeshi la Kisoviet mwaka 1943 Alikuwa ndiye mdunguaji bora kabisa (one of...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Salaam Wakuu, Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine. Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata...
  13. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

    === Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo. Chanzo: https://twitter.com/ChademaTz/status/1505127335019917312 === "Kukamatwa kwangu kulikuwa kilele cha Uonevu" - Freeman...
  14. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa makanisa: Picha za majengo ya makanisa

    Katika pita pita zangu nimejikuta naanza kuvutiwa na designs zinazojitokeza kila siku za makanisa, ujenzi wako una staajabisha sana, tuoneshe jengo la kanisa la huko kwenu ikipendeza tupe picha za ndani na nje hata historia kidogo. Hii ni RC Geita, hili ni jipya kabisa Hii ni RC Kibosho...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkuu wa Majeshi Urusi, Jenerali Valery Gerasimov

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Urusi General Valery Gerasimov ameongoza kwa mafanikio makubwa operesheni kadhaa za kijeshi Chechnya, Syria na Ukraine. Aliye na Picha zake na wasifu wake anakaribishwa
  16. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Mwenye picha ya nyumba inayogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee

    Mwenye picha ya ghorofa aka hekalu linalogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee Ova.
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kwa picha, zawadi maalumu unazotakiwa kumpatia umpendaye

    Wadau Nimewawekea Picha mbalimbali zinazowakilisha Zawadi unazoweza mpatia mke wako mpendwa au rafikiyo wa kike Karibuni kwa maoni na ushauri Tujitahidi kuwapenda wake zeru
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamshikilia Diwani na wenzake kwa kumpiga mpiga picha

    Mnamo tarehe 03.03.2022 majira ya saa 08:00 asubuhi huko Mtaa wa Igodima, Kata ya Iganzo, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Kijana aitwaye SHADRACK ZACHARIA [28] Mpiga Picha na Mkazi wa Igodima Jijini Mbeya anayeonekana kwenye “clip” ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii akishambuliwa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Hii ni picha ya Karne, makamanda hawachoki

  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Kesi ya mauaji inayowakabili askari saba yapigwa kalenda, mshtakiwa aweka ‘POZI’ kupigwa picha

    "Mmeridhika?" ndivyo anavyosikika Ofisa Upelelezi (OC CID) Wilaya ya Mtwara, Gilbert Kalanje na mshtakiwa namba moja wa kesi ya mauaji inayowakabili maafisa saba wa Polisi mkoani Mtwara huku kesi hiyo ikiahirishwa. Kalanje na maofisa wenzake sita leo Jumanne Machi 8, 2022 wamefikishwa katika...
Back
Top Bottom