picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kutishia kurusha picha za uchi mtandaoni

    Msaada ndugu zangu, Kuna mtu anamtumikisha mke wangu kwa kumtishia kurusha picha za uchi za mke wangu mtandaoni. Naomba mnisaidie ni wapi nianzie kumdhibiti huyu
  2. Pjmwakyusa

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

    Speaker mstaafu job ndugai ndani ya western wall of Jerusalem
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tujaribu kusoma ujumbe uliojificha kwenye picha hizi mbili

    Picha ya kwanza ni: Na picha ya pili ni: Kwenye picha ya kwanza Rais Macron wa ufaransa akiwa anakaribishwa na mwenyeji wake rais Zelensky wa Ukraine. Naona kama Zelensky amenuna, ni kama ana bifu fulani!. Rais Macron naona ni kama analazimisha tabasamu angalau ajaribu kumwambukiza...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi katika Picha: Hapa Mwigulu alitakiwa aanze kulipa kodi

    Hapa waziri wetu alikuwa katimiza umri sahihi wa kulipa kodi,yaani zaidi ya miaka 18.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

    Haya hapa majibu ya Happiness ambaye ni mke wa Joseph Mbilinyi 'Sugu' "Binti yangu, hii ilikuwa nipost siku ya birthday yako 26/09! Lakini naona mbali 😃 Hapo nilitoka kukuvalisha hivyo vihereni vya gold nilizokupa zawadi kwa kutimiza miaka 3 mwaka 2015. 😃Nikikuona hapo nawaona wadogo zako...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania The Oman Connection: Kikwete in 2012 and Samia in 2022

    Salaam wakuu, Tuachane na habari za Ngorongoro huko Loliondo kwa muda kidogo. Kuna hizi picha mbili za Kisiasa. Baada ya Miaka 10, Sehemu alipopigia Picha Kikwete ndipo Kapigia Picha Rais Samia. Wote Wamefanya ziara kwa Siku 3. Pia soma: 1. Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA 2...
  8. mack255

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

    Video ya Mapokezi ya Rais . Samia huko Oman . Itakuwa ni ziara ya siku tatu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Uwekaji alama Loliondo, mitutu ya bunduki kama Mogadishu Somalia

  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Salaam Wakuu, Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi. Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii. MY TAKE: Damu ya Mtu haiendi bure. Pia soma: Wamasai Ngorongoro...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia mkishamkamata wa Picha ya Loliondo muunganisheni pia na akina Kitenge na Oscar waliorekodi ile yao

    Hakuna kitu GENTAMYCINE nakichukia kama Unafiki na Kuonea Watu hovyo. Sasa nami nasema Kwako Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kuwa ukishaletewa huyo uliyeamuru kuwa akamatwe kwa Kupiga Picha Loliondo tafadhali amrisha pia na Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge na Mchambuzi wa Mpira Oscar Oscar nao...
  12. Printing n Packaging

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza picha za kwenye frame na picha mbao

    TUMA PICHA KWA NAMBA ZETU 0683557564 UKITUMA LEO UNAPATA LEO. TUNAPATIKANA KIMARA KOROGWE DSM SIZE : A4 -15,000 SIZE : A3 -25,000 SIZE : A2 -40,000 SIZE : A1 -65,000
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simu Camera yake unapiga picha mpaka ndani kabisa unaona

    Nahitaji simu ya bei ya kawaida tu lakini iwe na camera kali kiasi ukimpiga mtu picha amevaa nguo unaona mpaka ndani na kama ni mwilini hadi unaona viungo vilivyoko ndani maini, figo,firigisi, utumbo n.k Natamani sana na ninawaza kuweza tengeneza simu ya namna hiyo. Huu ugunduzi ni wangu kabisa...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kupiga picha na watu maarufu, kunakuongezea vipi, unafuu katika maisha yako?

    Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali. Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Unatambua nini kuhusu hizi picha mbili za Rais Putin?

    Hapo Rais Putin na Macron wa ufaransa wakiwa Russia Vita ilikuwa imeanza ukraine Hapa Putin na mwenyekiti wa AU -Africa united wakiwa Russia ilikuwa jana
  16. L

    JamiiForums Tanzania Acheni kutumia picha za watu weusi kuripoti mlipuko wa monkeypox!

    Hivi karibuni, ugonjwa wa monkeypox umeendelea kuenea katika nchi za magharibi. Tangu tarehe 13, nchi 23 zikiwemo Marekani na Uingereza zimeripoti maambukizi zaidi ya 250 yaliyothibitishwa na zaidi ya maambukizi 100 yanayoshukiwa kwa WHO. Hata hivyo, Reuters, BBC, ABC News na vyombo vingine vya...
  17. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Hii picha ipo katika movie gani?

    Hii ni movie gani?
  18. mngony

    JamiiForums Tanzania Mabango ya picha ya Rais kwenye shughuli mbalimbali haukuwepo kabla ya 2015. Uondolewe kupunguza gharama?

    Habari wakubwa, Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea kuanzia awamu ya 5 na hii ya sasa tuliyonayo shughuli za kitaifa anazohudhuria Rais zinambatana na mabago 'banners' makubwa yenye picha ya Rais pamoja jumbe au kaulimbiu kulingana na shughuli husika iwe maadhimisho, sikukuu za kitaifa na...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenezi NCCR Mageuzi akiwa na jiwe mkononi huku akiwafurusha mamluki wa Sisty Nyahoza

    Huyu ndio anajua kupambania chama.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Lightbox kupigia picha bidhaa

    Natafuta lightbox kwaajili ya kupigia picha za bidhaa. Lightbox ndogo kwa picha za viatu na mikoba. Au kubwa za kupiga magauni ya kike. Kama unafahamu mahali zinapatikana kwa Dar au Mwanza nitashukuru sana.
Back
Top Bottom