Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,810
11,980
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao:
1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)
2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi Luteni Jenerali MATHEW EDWARD MKINGULE, kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Zambia
4. Dkt. SULEIMAN HAJI SULEIMAN kuwa Balozi

====​

Aliyoyazungumza Rais Samia katika hafla ya uapisho Ikulu, Dodoma: Asema kuna mabadiliko makubwa yanakuja
Rais amempongeza IGP aliyepita Simon Sirro kwa utumishi wake uliotukuka lakini amesema kama maisha yalivyo amelazimika kufanya uteuzi huo. Na ameahidi kutakuwa na mabadiliko mengine makubwa. pia amempongeza kwa kuteuliwa kuwa balozi.

Rais pia amempongeza IGP Wambura kwa kuteuliwa kuwa IGP na amemtaka awe muadilifu katika nafasi yake hiyo aliyoteuliwa baada ya utendaji wake kwa nafasi zilizotangulia kuonekana.

Pia Rais amewapongeza watu wengine walioapishwa.

Rais Kumekuwa na ulazima wa kufanya mabadiliko katika taasisi za haki jamii ili kuboresha suala la utawala bora.

Rais amesema amelazimika kufanya mabadiliko kwenye taasisi hizo ambapo ameanza na Jeshi la Polisi, wataiangalia TAKUKURU, Magereza na Kamishne ya dawa za kulevya ambapo wataangalia mfumo wa utendaji katika maeneo hayo ili kuboresha utendaji.

Amesema wataangalia mifumo ya upandishaji vyeo kwenye taasisi hizo. Amesema ametazama maeneo mengi watu wanakaribia kustaafu lakini mabega yako wazi kama watu walioanza ajira hivi karibuni. Na pia wataangalia mafunzo maana mtu ili apandishwe cheo ni lazima apitie mafunzo ya kitaaluma na kimadaraka.

Jambo lingine litakaloangaliwa ni mahusiano na raia na taasisi nyingine. Ili kuangalia kanuni zilizpo kwa kuwa wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa wageni.

Mwaka wa fedha 2022/23 ameongeza bajeti ya majeshi ili kuangalia stahiki na haki za maaskari. Suala lingine la kuangaliwa ni namna ya kuwaingiza watu katika ajira. Amesema maaskari wengi ukiwatizama na nidhamu yao haviendani. Na inaonekana hakuna kushindwa katika majeshi. Ambapo amesema kuna viashiria ya vyeti feki.

Amesema kutakuwa na mchujo kwenye majeshi yote ili kuwa na wataalamu mbalimbali ikiwemo wataalamu wa fedha, ICT na wataalamu wengine. Pia kuangalia masuala ya tafiti na ugunduzi ili kuwa na zana za kisasa katika majeshi kwa kuangalia mahitaji yakoje.

Mipango ya mawasiliano itaangaliwa ili kujua teknolojia inatumiakaje. Kwa sasa amenza na jeshi la polisi

Kamati ya watu 12 yaundwa.
Kamati inaongoza na Jaji Msaafu Chande Othmani na makamu wake Sefue. Rais Samia amesema ameunda kamati ili kupewa ushauri wa namna ya kuleta mabadiliko ya utendaji kazi bora. Ambapo wameanza na polisi na watampelekea taarifa ya taaisis nyingine ili kuboresha taasisi hizo.

Rais amesema kwa sasa serikali inakuja na jicho lingine kwenye masuala ya kijeshi ili kuunda majeshi imara na bora katika utendaji.
PIA, SOMA: Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
 
Nukuu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuapishwa kwa viongozi Mbalimbali Ikulu Dodoma.

IMG-20220720-WA0010.jpg
IMG-20220720-WA0009.jpg
IMG-20220720-WA0005.jpg
IMG-20220720-WA0006.jpg
 
Mabadiliko makubwa ya kubeba akina Kingai wasiojua hata PGO ?
 
Hayo mabadiliko ya kiutendaji aliyosema Samia yakifanyiwa kazi, kidogo naanza kuona utendaji wa jeshi la polisi utabadilika.

Huwa naona utendaji mbovu wa baadhi ya polisi wetu mara nyingi huchangiwa na viwango duni vya elimu walivyo navyo.

Nasema "kidogo" utendaji kazi utabadilika kwasababu mwisho wa siku hata kama mteuliwa akiwa na kiwango cha juu cha elimu, bado kwa muundo tulionao, atafanya kazi kwa matakwa ya bosi wake, na sio kwa kufuata sheria.
 
Kabla hajaendelea mbele angalie aliko anzia kwenye teuzi zake za mwanzo mwanzo/awali Wateuliwa mizigo tayari wameshajidhihirisha wazi wazi awaondoe kwanza ndipo asonge mbele.
 
Back
Top Bottom