picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Voyager i ndo chombo kilicho mbali zaidi na dunia, kimebaba picha na ujumbe kutoka Duniani. NASA waliamini sikumoja labda kitapatikana na alliens

    Chombo cha anga cha Voyager 1 ni moja ya mafanikio makubwa zaidi ya binadamu katika historia ya sayansi. Hiki ndicho chombo kilicho mbali zaidi na Dunia kuliko chochote ambacho binadamu amewahi kutuma angani. Kilirushwa mwaka 1977 na NASA, kikiwa na lengo la kuchunguza sayari kubwa kama Jupiter...
  2. JamiiForums Tanzania Picha ya Trump akijifananisha na Yesu yapata ukusoaji mkubwa mitandaoni

    Moja kwa Moja.. Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu . Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa mitandaoni baadhi wakisema anafanya kufuru kwa kuleta mzaha kwenye dini , kujipa nafasi ya Mungu na...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Watu wa Arusha mtusaidie, je, picha imepigwa Arusha?

    Ni kwamba watu wa Arusha mmeshindikana au vipi? Hili tukio la huyu jamaa akivuta 'Space Capsule' ni la kweli?
  4. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ilipigwa mwaka 2012 nchini Korea Kaskazini

  5. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii ya Uhuru akiwa na tattoo ya Freemason ni halisi?

  6. JamiiForums Tanzania Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

    Nimekuwa nao lakini ajabu kila mtu akiwaona anashangaa na wengi wananituhumu labda ninao kwa ajiri ya kazi flani za kishirikina ikizingatiwa na kwamba wakihitaji niwauzie siuzi maana mie ni kwa ajiri ya mapambo na kula tu nje na kuku wengine. Kwani Hawa kuku nilichongundua wanauzito sana. Pia...
  7. JamiiForums Tanzania FALSE NASA astronauts growing rice on the Moon

    A viral post has been circulating on social media, especially on Facebook, claiming that astronauts have successfully grown rice on the Moon. However, an investigation using keyword searches determined that the image was generated using artificial intelligence (AI) and is therefore not genuine...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Picha za Rapa Offset akiwa Hospitali

    Jamaa anavuta ganja hospitali bila tabu kabisa Soma pia Rapa wa Marekani, Offset apigwa risasi Florida
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Vita imefika pabaya, Netanyahu anadhalilika mchana kweupee!

    Niaje waungwana Naona Netanyahu kawekwa mtu kati 🤣🤣🤣🤣 Akienda mbele nchale ( Iran ) Akirudi nyuma nchale ( Hezbollah ) Akikaa nchale ( Houthis ) Muona mbali, na mjuzi wa mambo ya vita, niliwahi kuandika threads huko nyuma (2022) na (2024) kabla Iran na Israel hazijawahi kushambuliana moja...
  10. JamiiForums Tanzania Picha ya Dunia yenye high resolution kutoka space imepigwa na Artemis II!

    Picha mpya ya Dunia imepigwa kutoka Artemis II.
  11. JamiiForums Tanzania NASA wamerudi tena Mwezini, na tayari picha za awali zimeanza kuachiwa — Je, Wale wabishi wa ‘Moon Hoax’ Bado Wataendelea Kubisha?

    Juzi tarehe 1 tumeona team ya Artemis II kutoka NASA imefanya tena ziara ya kuelekea mwezini ambayo itachukua siku 10 na leo tayari picha za awali zimeanza kusambazwa. Hii siyo simulizi ya karne ya 20 tena, bali ni ushahidi wa karne ya 21 unaoonekana kwa macho. Lakini ni kama umekuja wakati...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Hiki ndo kitu kilichonifurahisha zaidi hapa JF siku nilipokiona kwa mara ya kwanza

  13. P

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi House Zanzibar kwanini mnakataza wananchi kupiga picha ya jengo? Nimejibiwa mmejiamulia tu kutoruhusu!

    Salam Wakuu, NImekuja Zanzibar (Unguja) kutembea sasa wakati nazurura na kutalii nikakutana na hilo jengo la Uchaguzi House. Nikasema nipate picha ya pale ikiwemo kujikumbusha kuwa nilipita hapo... huwezi kujua wanaweza kubadilisha design ya jengo au likahamishwa sehemu nyingine tukawa na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Matosa - Goba, Mwaka wa 3 tunabembeleza kujengewa kalavati, TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe turekebishiwe lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Tumesharipoti kwa mamlaka mbalimbali wanatuahidi...
  15. JamiiForums Tanzania Ebu tu-share stori mbili tatu kuhusu huyu mwamba uliemuona katika picha hii

  16. JamiiForums Tanzania Picha: Kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Vita ya week 2 tu Trump ashakuwa hivi!!

    Niaje waungwana Kwa sasa Trump asha panic, anagombana na kila nchi ili apate msaada wa kupambana na Iran. Iran hii ambayo yeye (Trump) alipoingia madarakani 2016 - 2020 aliiongezea vikwazo vikali mno ili kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi. Iran hii ambayo maraisi wote wa Marekani, na washirika...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi ndivyo sisimizi wanavyotuona

    @lomomy nadhani umewai kujiuliza sisimizi wanatuona kama majitu makubwa, huu ndo muonekano wako katika mtazamo wa sisimizi
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Wasanii punguzeni mapicha na video kwenye misiba, mnakuwa vituko

    Punguzen haya mambo mnaonekaana vituko na usaniii Yaan kila.mtu akienda misiba ya wakubwa anataka vid anataka picha arushe fb nani anahitaji picha zenu kwenye fb ama vid zenu Kufika n inada uhitaji kutujuza umefika msiban mbona amtuambii na michango.mmetoa sh ngapi??? Kuna kichekesho...
  19. JamiiForums Tanzania Nani anaepaswa kuongezwa katika picha hii?

    Nitaanza mimi: CHUCK NORRIS
  20. JamiiForums Tanzania Mitandao Yote Imejaa Picha za Iran Kuishambulia Israel Kwa Sababu Dunia Nzima Imechukia Uonezi wa Israel

    My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…