Mpenzi wa kizungu na wakiafrika wamekumbatianaHizi ni baadhi ya picha (optical illusion) zilizoenda viral sana.
Unaweza ukafafanua utata wake?View attachment 2595638
Naona grey tupuA ina rangi ya grey wakati B ni nyeupe
Ukitumia kidole chako kuziba hiyo sehemu ambapo zimekutana utaona nini?View attachment 2595645
Hiyo ni pyramidPyramid au ni shimo?View attachment 2595644
Hiyo trouser ya jamaa ni nyeupe ndo maana imeleta mkanganyikoMzungu amevaa nguo rangi gani?
Wakati huo uwe umeangalia na direction ya miguu yao
Farasi
Hapana mbona kifuani wamejazika?Ukigeuza hao ni wanaume
AnticlockwiseHuyu dada hapa, ana spin clockwise au anticlockwise?View attachment 2595652
Ni wanaume kisura ila kifuan hasa huyo wa kwanza kushoto ukigeuza simu amejaziaAngalia tena