picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha zasambaa zikionesha uharibifu uliofanyika kwa submarine ya Urusi, baada ya kupigwa na drone

    Dunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games. Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
  3. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

    Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali. Wakagundua...
  4. Scars

    JamiiForums Tanzania Photoshop editing requests na majibu yake

  5. Area 56

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Kramo imenihuzunisha sana

    Yoyote anayemtesa huyu jamaa kwa misumari basi ajue anatukosea sana wapenda kabumbu. Halafu kwanini wachezaji wazawa wanawabagua wachezaji wageni hapo lunyasi? Hata picha inajieleza tu
  6. fungi06

    JamiiForums Tanzania Weka picha yenye ujumbe hapa

    Mfano...
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Picha: Kifahamu kifaa cha kuangalia kuandama kwa mwezi

    Ni hiki hapa wakuu. Vipo vya aina kadhaa.
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia itisha kura ya maoni kupitia akaunti yako ya X kuhusu suala la Bandari, utapata picha halisi na ikusaidie kufanya maamuzi

    Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini. Rais Samia...
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Umeona nini na nini kwenye hii Picha?

    Twende pamoja kwa wazee wa Photograph interpretation. Mention kila ulichoona kwa hii picha
  11. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Kevin Carter alijiua baada picha ya kusikitisha aliyompiga mtoto akiwindwa na Tai kumpatia tuzo ya Picha bora (Pulitzer Prize)

    Kevin Carter alikuwa ni mpiga picha, sasa katika kazi zake alifanikiwa kufika Sudan na alikuta eneo fulani nchini Sudan likikabiliwa na njaa kali sana. Wakati anaendelea kuchukua matukio katika picha, alikutana na mtoto dhoofu mwenye utapiamlo aliyekuwa akikabiliwa na njaa kali pamoja na kiu...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Picha bora ya mwezi Septemba, imepatikana Nyamongo, Tarime

    Kwa wale wanaofuatilia Mikutano ya hadhara ya Chadema ya Oparesheni 255, kote inakofanyika, bila shaka wanafuatilia hotuba kabambe za viongozi, ambazo kwa kweli ni hotuba zinazosisimua na kuwafungua Ubongo wananchi. Lakini sisi wengine tunaenda mbali zaidi, kwa kuangalia kwa umakini yanayojili...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kila nikitizama Kikosi cha Congo DR kikiwa Kambini namuona Inonga tu, kuna aliyemwona Zengeli anitumie Picha yake?

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Congo DR simwelewi yaani kamuita Beki aliyekuwa Majeruhi Henock Inonga wa Simba SC inayoshiriki Kombe jipya na lenye UTAJIRI mkubwa unaoshirikisha Vilabu Bora na Vikubwa la AFRICAN FOOTBALL LEAGUE na kumuacha ( kutomuita ) Kiungo Mshambuliaji Max Zengeli wa Yanga SC...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Hii ndo picha yangu ya mwaka huu na kwa wajukuu na vitukuu, Rais wa Afrika wenda na dunia

    Wakuu nisiwachoshe , amani ya Bwana ikawe juu yenu popote mlipo Bila kinyongo na share picha yangu ya mwaka huu 2023 na kwa vizazi vyangu vijavyo, thanks
  15. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Haileti picha nzuri kwa CHADEMA kutomtumia msanii Ney wa Mitego kwenye mikutano yenu

    Nimesikitishwa na kitendo cha BASATA kumzuia msanii Ney wa Mitego kuandaa show huko Njombe hii sio mara ya kwanza na naona kuna kila dalili Ney wa Mitego akazuiliwa kualikwa kwenye matamasha yote ya muziki yanayofanyika nchini tayari kazi zake hazichezwi kwenye vituo vya habari Kama kijana...
  16. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba kuujua mji wa Kahama kupitia picha

    Habari wakuu, Natamani kuufahamu mji wa Kahama kupitia picha. Kama una picha zozote za mji wa Kahama, picha za mitaa, makazi ya watu, viwanja vya michezo, hoteli, shule, hospitali, mito, madaraja, mabonde, barabara, milima, majengo ya ofisi, mitaa ya ushuani, uswazi, masoko, utalii, ofisi za...
  17. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Habari Picha: Hii picha imebeba ujumbe gani?

    the THE BIG SHOW, FaizaFoxy na Lucas mwashambwa njooni mtueleze
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Shujaa wa Tanganyika anayetetea rasilimali za Watanganyika toka enzi na enzi

    List of shame? Wauza bandari? Wote amepambana nao
  19. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

    Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo. Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na jeshi lililoongozwa na binamu yake jana. Hapa kuna cha kujifunza ndugu zangu.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Picha za mwisho za Yevgeny Prigozhin Bangui CAR

    Mzuka wanajamvi, Hizi picha ndio za mwisho Boss wa Wagner kupigwa huko Bangui Central Africa Republic na baadaye siku chache kuuawa. Cha kushangaza hao wamatumbi pembeni yake wanakenua mimeno tu huku jamaa akiwaibia rasilmali zao Kwa wingi dhahabu, magogo na almasi.
Back
Top Bottom