picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha hii inathibitisha Dar kuna shida ya chakula. Chapati zote hizo?

  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Picha: Jembe linalokubalika kwa Watanzania kupinga uonevu likiwaaga Wanachato

  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha: FFU Demo in Mbeya

  4. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro

    Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro Kwa kosa la Kukiuka masharti ya kibali cha mkutano na hasa kuwaalika wabunge wengine kuhudhuria Katika mkutano huo siku alipotoka tu jela.
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

    Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli =============== UPDATES... Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine. Hata hivyo hakuna...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

    Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4 =========================== Update: 08/11/2023 https://www.jamiiforums.com/threads/tls-kumsaidia-aliyefungwa-miaka-22-kisa-nyama-ya-swala.2156049/ ========================== Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuangalia tu na kutumia common sense, pale Middle East Israel siyo kwao

    Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu. Jambo...
  8. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

    Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini. Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa. Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Huku raia wakipigwa na Israel Mahmoud Abbas apiga picha na Blinken.Habari zilipovuja Blinken akakimbizwa mbio

    Shambulio la Hamas la oktoba 7 ilikuwa ni sababu na kisingizio cha Israel kutekeleza ajenda zake za muda mrefu nazo ni kuifuta kabisa Palestina. Ukweli huo unaonekana katika kuongezeka kwa mashambulizi ya jeshi la IDF na walowezi kwa kila raia wa Palestina maeneo aliko Mahmoud Abbas wa PLO...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Ashiriki Mkutano Maalum wa Dharura SADC

    Picha mbalimbali Rais Samia Suluhu akishiriki mkutano wa dharura kuhusu Ulinzi na Usalama (Troika) wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, Luanda nchini Angola leo Novemba 4, 2023. Pamoja na mambo mengine, mkutano huo unajadili juhudi za SADC katika kuimarisha amani, ulinzi na usalama Mashariki...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Adolf Mkenda, Ndumbaro, Mwana FA wajiuzulu sakata la wanafunzi kuchezeshwa wimbo wa Zuchu 'Honey"

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

  14. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Mfanano wa mafundisho ya Yesu na mafundisho ya Krishna unakupa picha gani?

    Amani iwe nanyi Angalizo: Kabla ya yote Enyi ndugu zangu napenda kutoa angalizo kwamba Yatakayoongelewa hapa ni kwa lengo la kujifunza na si katika muktadha wa maana yoyote nyingine.. Kama mada inavyojieleza Kuhusu Mafundisho ya hao watakatifu wawili.. watakatifu hao wamekuwa sio tu na...
  15. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania App ambayo inaweza kunisaidia kubadilisha picha ya kawaida kuwa passport size yenye Blue color background

    Naomba kujuzwa Application inayoweza kuniwezeaha kubadili picha ya kawaida na kuwa passport size
  16. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Nionyeshe picha kama hii kutoka msimbazi niwaonyeshe mbuzi anayetaga

  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mama kabandika picha sebuleni ambazo yumo ex, mke kazing'oa. Hapa kosa la nani?

    JE, HUU NI UUNGWANA? Mama wa rafiki alikuja na picha ya frem ili aiweke sebuleni, kwenye picha yupo yeye, rafiki yake mwengine na ex wake. mke wake alipofika nyumbani aliitoa hio picha, mama akaanza kulalamika kagharamika na kutumia muda mwingi kuchagua picha. mama akaanza kumwambia kachagua...
  18. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa picha za sunset tukutane hapa

    Kama title ya uzi inavyojieleza. Wacha nianze mimi kwa baadhi nilizozipiga. 1. Pemba chakechake sunset view
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha za Sheikh Suleiman Takadir Wakati wa Anapigania Uhuru wa Tanganyika (1954 - 1958)

    Picha za Sheikh Suleiman Takadir Wakati Anapigania Uhuru wa Tanganyika (1954 - 1958) Kulia: Bibi Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila, Sheikh Suleiman Takadir, Julius Nyerere katika moja ya mikutano ya TANU ya mwanzoni 1954/55 Kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia na Julkius Nyerere...
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Angalia hizi picha kwanza ndiyo utoe maoni yako

Back
Top Bottom