Haileti picha nzuri kwa CHADEMA kutomtumia msanii Ney wa Mitego kwenye mikutano yenu

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,075
Nimesikitishwa na kitendo cha BASATA kumzuia msanii Ney wa Mitego kuandaa show huko Njombe hii sio mara ya kwanza na naona kuna kila dalili Ney wa Mitego akazuiliwa kualikwa kwenye matamasha yote ya muziki yanayofanyika nchini tayari kazi zake hazichezwi kwenye vituo vya habari

Kama kijana mwenzetu aliyeamua kujiingizia kipato kupitia sanaa yake ney wa mitego ni msanii vibao vyake vinagusa maisha ya wananchi wote hasa wanachama wa chadema lakini ameishia kupewa sifa tu

Hali hii inanishangaza kwanini viongozi wa CHADEMA hawataki kumtumia ney wa mitego hichi ndio chama kimejipambanua kupigania kubadili maisha ya watanzania endapo watapata ridhaa kuongoza nchi

Kwanini Ney wa Mitego kategwa licha ya kuonesha yupo pamoja na nyinyi kama mmeshindwa hili mtaweza kubadili maisha ya watanzania kama mnavyohubiri kwenye majukwaa

Kijana huyu kwa sasa hatoweza kuingiza kipato chochote tusisubiri mtu aumwe au apate matatizo

CHADEMA mmenivunja moyo sana kwa hili kumtenga Ney wa Mitego
 
Wamekusikia watalifanyia kazi. Na yeye ney alishawah omba shoo kwa chadema wakamtosa?? Au unamaanisha chama kimfate?
 
Nimesikitishwa na kitendo cha basata kumzuia msanii ney wa mitego kuandaa show huko njombe hii sio mara ya kwanza na naona kuna kila dalili ney wa mitego akazuiliwa kualikwa kwenye matamasha yote ya muziki yanayofanyika nchini tayari kazi zake hazichezwi kwenye vituo vya habari

Kama kijana mwenzetu aliyeamua kujiingizia kipato kupitia sanaa yake ney wa mitego ni msanii vibao vyake vinagusa maisha ya wananchi wote hasa wanachama wa chadema lakini ameishia kupewa sifa tu

Hali hii inanishangaza kwanini viongozi wa chadema hawataki kumtumia ney wa mitego hichi ndio chama kimejipambanua kupigania kubadili maisha ya watanzania endapo watapata ridhaa kuongoza nchi

Kwanini ney wa mitego kategwa licha ya kuonesha yupo pamoja na nyinyi kama mmeshindwa hili mtaweza kubadili maisha ya watanzania kama mnavyohubiri kwenye majukwaa

Kijana huyu kwa sasa hatoweza kuingiza kipato chochote tusisubiri mtu aumwe au apate matatizo

Chadema mmenivunja moyo sana kwa hili kumtenga ney wa mitego
Ulipaswa kuandika taarifa ambazo umezifanyia utafiti na unaongea kwa ushahidi. Tupe data za kutosha kwa hili unayooongea
 
Wampe shoo anawasaidia sana. Hata kama sio mchaga lakini ana damu kidogo ya Kaskazini. Mzazi wake mmoja ni mpare au mchaga na mwingine Kysaka wa Mbeya.
 
Nimesikitishwa na kitendo cha BASATA kumzuia msanii Ney wa Mitego kuandaa show huko Njombe hii sio mara ya kwanza na naona kuna kila dalili Ney wa Mitego akazuiliwa kualikwa kwenye matamasha yote ya muziki yanayofanyika nchini tayari kazi zake hazichezwi kwenye vituo vya habari

Kama kijana mwenzetu aliyeamua kujiingizia kipato kupitia sanaa yake ney wa mitego ni msanii vibao vyake vinagusa maisha ya wananchi wote hasa wanachama wa chadema lakini ameishia kupewa sifa tu

Hali hii inanishangaza kwanini viongozi wa CHADEMA hawataki kumtumia ney wa mitego hichi ndio chama kimejipambanua kupigania kubadili maisha ya watanzania endapo watapata ridhaa kuongoza nchi

Kwanini Ney wa Mitego kategwa licha ya kuonesha yupo pamoja na nyinyi kama mmeshindwa hili mtaweza kubadili maisha ya watanzania kama mnavyohubiri kwenye majukwaa

Kijana huyu kwa sasa hatoweza kuingiza kipato chochote tusisubiri mtu aumwe au apate matatizo

CHADEMA mmenivunja moyo sana kwa hili kumtenga Ney wa Mitego
Mapensho star !

Hiyo Chadema!
Hao viongozi wa Chadema!

Wanachokisema sio kile wanachokiamini na kukisimamia.

Kama wangekuwa na nia ya dhati kulikomboa taifa hili na wananchi wake!

Kamwe wasingegeuka na kuwa wapinzani wa Marehemu John Pombe Magufuli.

Ni hawa hawa wsliungana na kina Nape Nnauye na kina Kinana na kuanza uasi shidi ya JPM.

Na hata sasa wanatembelea mbeleko ya kejeli na matusi kwa JPM sambamba na anachokifanya Bi Tozo.

Hakuna uzalendo wala upigania haki bali ni upigania Matumbo tu.

Tuwasikilizie na tuchukuwe baadhi ya point,lakini kwa jicho la tatu.
 
Hawa watu kuna vitu wamebeba vifuani mwao Mungu tu ndio anaejua
 
Ney hatokei kweny asili yao ,mwenye Chadema ni ndugu nyie ndo mnajipendekeza na ujinga wenu...kile ni chama cha ukoo.
Hoja ambazo zilishindwa kitambo sana.

Watanzania hawako huko, Propaganda za kizamani Tena zinaonekana za kitoto.
 
wanaharakati wa nchi hii wakibanwa kidogo tu wanaanza kulialia badala ya kupambana kama wanavyojipa ujasiri kwenye vipaza sauti.
 
Back
Top Bottom