picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Uthibitisho Mwijaku kutumiwa na TTB kutangaza utalii

  2. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

    Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO. Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI. Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi. Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Mahalu kutuhumiwa kwa ubaguzi akiwa kwenye taasisi ya kanisa inaleta picha gani kwa mustakabali wa Tanzania?

    Zaman tuliaminishwa kwamba Prof ni mtu msomi na mwenye uwezo mkubwa wa kutambua mema na mabaya. Leo hii profesa akiwa ndani ya taasisi ya dini ambapo tunaamini analelewa kiroho anapotuhumiwa kuwabagua binadamu na kuelekezwa wasipewe huduma hata ya chakula ni fedhea sana kwa kanisa na wasomi...
  4. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Hivi tabia ya kupiga picha na hela, ni ujanja au ushamba?

    Naona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?
  5. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

    Watanzania mchangamkie fulsa za mbogamboga na matunda. https://twitter.com/DIONIZKIPANYA25/status/1709048646375805055?t=HyUFD88LmFNZDr0eAmNBSQ&s=19
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Natunuku Picha Kushukuru Picha Niliyotunukiwa

    NAMI NATUNUKU PICHA KUSHUKURU Nimemwandikia ndugu yangu aliyenitunuku picha adimu: "Nami nakupa picha adimu na nyongeza kidogo kukushukuru kwa hidaya uliyonipa. Katika picha uliyonitunuku yupo Maalim Seif na Dr. Salim na yupo Hassan Nassor Moyo. Nikisema niandike itakuwa kitabu kizima...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha Adimu ya Julius Nyerere, Salim Ahmed Salim na Ali Hassan Mwinyi 1980s

    Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya: "Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari." Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed Salim na Rais Ali Hassan Mwinyi. Nyuma ya Dr. Salim Ahmed Salim ni Dr. Salmin "Komando" Amour...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha Adimu na Kumbukumbu Zake 1980s

    Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya: "Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari." Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed Salim na Rais Ali Hassan Mwinyi. Nyuma ya Dr. Salim Ahmed Salim ni Dr. Salmin "Komando" Amour. Kwa...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hii ndio picha yangu ya karne

    Hii picha inaongea mengi kuhusu Africa. Ina maana zaidi ya mia moja. Kila msomaji wa hii picha anaipa maelezo yake kulingana na mazingira na ufahamu wake.
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hii picha katika Ajira Mianne kugombea na watu Elfu hamsini na sita sio mchezo !

    Inafikirisha Sana siku ya usahili (TRA) you can't imagine
  11. eRRy

    JamiiForums Tanzania Kakobe: TANESCO mwogopeni Mungu!

    http://www.youtube.com/watch?v=tPK7kXLgkH4
  12. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Picha ya Aziz K na Skudu Makudubela

    Picha ya aziz k na skudu makudubela Mpiga picha ni huyo alipiga goti kapiga picha kalii sana yaani picha imetoka fresh kama imepigwa marekani
  13. Plastic

    JamiiForums Tanzania Weka picha za mifugo yenye magonjwa mbalimbali upate ushauri wa tiba na kinga kwa wataalam

    Habari wanajamvi. Je, una mifugo inayosumbuliwa na maradhi mbalimbali? Ningependa tutumie uzi huu kushare picha za wanyama wa kufugwa (ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata n.k) tunaowafuga au tuliowahi kukutana nao wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali ili tujifunze na kupata ushauri wa...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Inasikitisha: Tazama hali ya miundombinu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Picha ya kwanza chumba cha wahudumu picha ya pili Wodi ya wagonjwa Pia Soma = Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha zasambaa zikionesha uharibifu uliofanyika kwa submarine ya Urusi, baada ya kupigwa na drone

    Dunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games. Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
  17. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

    Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali. Wakagundua...
  18. Scars

    JamiiForums Tanzania Photoshop editing requests na majibu yake

  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Kramo imenihuzunisha sana

    Yoyote anayemtesa huyu jamaa kwa misumari basi ajue anatukosea sana wapenda kabumbu. Halafu kwanini wachezaji wazawa wanawabagua wachezaji wageni hapo lunyasi? Hata picha inajieleza tu
  20. fungi06

    JamiiForums Tanzania Weka picha yenye ujumbe hapa

    Mfano...
Back
Top Bottom