picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini seriksli inakataza kupiga picha yeyote pale Kigongongo ferry/ Magufuli bridge? Wanaficha nini?

    Wadau nimeshangaa kuona watu wanaopiga picha linalojengwa pale kigongo busisi wanakamata na kunyanyaswa sana. Je shida nini? Kwanini tulipe Kodi lakini kupiga picha ya kitu kinachojengwa na Kodi zetu tunakataliwa? Wanafjchanini? Au kwa kuwa wanajenga kinyume na quality ya mwanzo ili wapige...
  2. JamiiForums Tanzania Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

    Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy. Watoto wadogo waliniponda lakini watu wazima walikubaliana na nilicho kiandika. Hazijapita hata siku mbili tumeyaona ya mtoto wa Madee...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: IDF wameua makamanda wanne wa HAMAS, wamesalia watatu ambao wameamrishwa wajisalimishe

    Hawa hapa wameshawahishwa kwa mabikira.... The IDF has successfully targeted four out of seven senior Hamas brigade commanders, the Israeli military's Arabic spokesperson Avichay Adraee wrote Thursday on X. "The IDF continued to dismantle Hamas's Gaza brigades," Adraee wrote...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi mpaka sasa bado kuna wanandoa ambao hutenganisha chumba chao kuwa vyumba viwili kwa kutumia mashuka makubwa?

    Hizi mambo mara ya mwisho kuziona ilikuwa ni 2008. Nimeshtuka sana pale nilipocheki chumba cha mfanyakazi mwenzangu Ona sasa!
  5. JamiiForums Tanzania Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

    Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili. Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo. Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe? Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero. Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
  6. JamiiForums Tanzania Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

    Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili. Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo. Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe? Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero. Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
  7. JamiiForums Tanzania Wanooeneza Picha na Habari za uongo kuhusu Kijana Joshua aliyeuawa na Hamas wanafaidika Nini?

    Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi hili suala kuwahusu walimu lina ukweli ndani yake?

    Endapo Mpwayungu Village atapita hapa. Atasononeka sana, aisee!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wajawazito wanajifungulia sakafuni Hospitali ya Buzurugwa

    Nimeona comment nyingi wanawake wanasema wanaporwa simu wanapoenda labor huko hospitali za serikali. Wanawapora simu sababu hii, hawataki watanzania waone kuwa in 2023 bado wanawake wanazalia sakafuni.. Hii ni hospitali ya Buzurugwa. Wamama wanapeana zamu kuzaa sakafuni. Na hii ndo situation...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi picha zinathibitisha makabwela wa CCM mtawasindikiza akina Mwigulu na wenzake

  11. JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea nini?

    Hii picha inaongea mambo mengi sana. Wazungu wanasema a picture speaks louder than words. Nikiiona hii picha nahudhunika mno, hasa kwa ajili ya vijana wa kitanzania wanaohitimu vyuoni makumi kwa maelfu kila mwaka. Maisha ya kiafrika ni magumu sana. Unaweza ukute hata elimu yenyewe aliyoipata...
  12. JamiiForums Tanzania Picha: HAMAS wakusanywa kama mifugo, huku Netanyahu akiamrisha waendelee kujisalimisha

    Wengi wanaona isiwe tabu, hawana haja na mabikira ya kule akhera.... Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday called for Hamas militants to lay down their arms, saying the Palestinian Islamist group’s end was near, as the war in the Gaza Strip raged more than two months after it...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu ni picha halisi ya jamii yetu

    Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu. "Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu" Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha tamaduni,malezi,tabia na fikra za watu wa jamii yetu kwa kiwango kikubwa. Vile wafikiriavyo viongozi wetu...
  14. JamiiForums Tanzania Hii picha imenifikirisha sana, naamini hata ww itakufanya ufikiri zaidi

    Nimeipata katika pitapita zangu mtandaoni.
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Idadi ya HAMAS wanaojisalimisha huku wakiwa uchi yazidi kuongezeka, baada ya kiongozi wao katoweka

    Wapewe chakula kwanza maana hapo najua wanakua njaa, wameogopa kuwahishwa kwa mabikira kule akhera... Dozens of Hamas terrorists lost contact with the terror group's leadership, leaving them with no option but to lay down their weapons and surrender to Israeli forces in the Gaza Strip, Army...
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi magaidi ya HAMAS yanajisalimisha yakiwa uchi huku yamenyanyua bunduki

    Ndio imekua sharti sasa, kama hautaki kuuawa wakati unajisalimisha, lazima uvue nguo kisha unyanyue bunduki yako..... An apparent Hamas member with his hands up hands over an assault rifle after surrendering to troops in northern Gaza's Jabaliya, on December 7, 2023. (Social media: used in...
  17. JamiiForums Tanzania Picha mpya ya Yesu yamuonesha akiwa kwenye maporomoko ya majengo yaliyosababishwa na mayahudi

    Picha hiyo ilizinduliwa rasmi kwenye misa ya Jumapili iliyopita mjjini Jerusalem alipozaliwa nabii Issa a.s (Yesu) ambapo padri Munther Isaac alisema huo ni ubunifu wa wanafamilia wa kikristo kuungana na wenzao wapalestina kuomboleza madhila wanayopata kutoka kwa mayahudi. Akimalizia misa yake...
  18. JamiiForums Tanzania Tupia picha zinazoonesha uzuri wa nchi yetu ya 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

    Mi naanza na My Motherland 🇹🇿 🇹🇿
  19. F

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Ni kama Wana Israel wakivuka bahari ya Shamu

    Mambo CCM inapenda kuyaona, hawa viumbe wa CCM hawataki waone unapata raha hasa wewe mlipa kodi utapigika kisawa sawa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…