picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi fundi kupiga picha kazi aliyopewa aifanye, na kuitumia kujitangaza bila makubaliano na mwenye kazi?

    Habari? Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana. Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya. Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha: Hii ramani inatumika sana kueneza uwongo wa mashabiki wa magaidi ya HAMAS humu

    Ramani ya kwanza inayotumika kueneza uwongo, ila ramani ya pili ndio yenye uhalsia
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Mapenzi bhana. Vina muda basi?

    Vina muda basi!!?
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye Melki the Storyteller

    Habari za wakati huu wana JF wote. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Shukhrani za dhati ziwafikie nyote mlioniombea katika safari yangu nzima ya maradhi. Kwa sasa naendelea vizuri tu na kamwili kanarejea upya Wengi wenu mlifikiri huenda The Storyteller wenu ni jibaba bonge bonge hivi lenye mashavu...
  5. Shimba ya Buyenze

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda Masumbwi (Boxing): Weka picha au video fupi ikionyesha KO au TKO unayoifagilia sana

    Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa! Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina gani. Unakuwa peke yako ulingoni na mpinzani wako. Huna mtu mwingine wa kumlaumu. Na ukizubaa...
  6. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia atumia sayansi kuzuia mikutano ya wapinzani

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakati Rais wa awamu ya tano mheshimiwa John P. Magufuli anaingia madarakani, miongoni mwa vitu vya kwanza kabisa alivyovifanya katika uongozi wake ni kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa akiamini kwamba mikutano hiyo ilichangia uzorotaji wa kuleta maendeleo...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Eti Kwa hii picha na hizo logo huyu ni mchezaji gani?

    Mdau wa michezo hasa soka, unadhani Mchezaji huyu aliyecheza katika klabu husika zilizotajwa kwa Mfumo wa Nembo anaitwa nani?
  8. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kubaini kama picha uliyoiona imewahi kutumika mahali kwingine

    Kuna wakati upotoshaji huweza kutokea kwa kutumia picha ya zamani au picha isiyo mahali pake kuwaaminisha watu kuwa picha hiyo inahusiana na tukio au taarifa husika. Watumiaji wa picha hii hukusudia kuibua taharuki au kutaka kukupa nguvu upotoshaji wao kuufanya uaminika kirahisi. Zifuatazo ni...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Paul Makonda akabidhiwa fimbo ya Hayati Mwl Nyerere. Aahidi kufuata misingi ya Mwl Nyerere

    MWENEZI MAKONDA AKUTANA NA FAMILIA YA HAYATI BABA WA TAIFA MWL. NYERERE Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametembelea Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere Wilayani Butiama Mkoani Mara ambapo amesalimu na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini picha ya kujaa Maji Bwawa la Nyerere haionekani google wakati huu, nini shida

    Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
  11. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Namna picha inavyoweza kuhaririwa 'Editiwa' na kutumika kufanya upotoshaji

    Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kumeibuka Application nyingi za kutengeneza picha, ambazo zinaweka kubadili muonekano wa picha kwa namna nyingi na hata kuleta sintofahamu baadaye Upotoshaji katika picha ni kitendo Cha kuhariri (edit) picha kwa kuongeza kitu, kupunguza kitu...
  12. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)

    Anaandika bwana Kenge, Hivi karibuni kumekuwa na picha nyingi zilizotengenezwa kwa AI(Artificial Intelligence).Licha ya kwamba Technolojia hii sio ngeni sana lakini imezidi kukua kwa kasi na kuonekana na Tija kwenye sekta ya Technology. Muongozo jinsi ya kutengeneza picha za AI. Sasa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha hii inathibitisha Dar kuna shida ya chakula. Chapati zote hizo?

  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Picha: Jembe linalokubalika kwa Watanzania kupinga uonevu likiwaaga Wanachato

  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha: FFU Demo in Mbeya

  16. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro

    Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro Kwa kosa la Kukiuka masharti ya kibali cha mkutano na hasa kuwaalika wabunge wengine kuhudhuria Katika mkutano huo siku alipotoka tu jela.
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

    Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli =============== UPDATES... Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine. Hata hivyo hakuna...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

    Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4 =========================== Update: 08/11/2023 https://www.jamiiforums.com/threads/tls-kumsaidia-aliyefungwa-miaka-22-kisa-nyama-ya-swala.2156049/ ========================== Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuangalia tu na kutumia common sense, pale Middle East Israel siyo kwao

    Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu. Jambo...
  20. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

    Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini. Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa. Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea...
Back
Top Bottom