picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. dogman360

    JamiiForums Tanzania Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

  2. U

    JamiiForums Tanzania Picha bora kabisa ya mwezi huu wa Novemba 2024

    Kichwa cha habari chahusika
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hizi shower kits na bathtubs (picha) zinapatikana wapi?

    Swali kama lilivyo kwenye subject. Hizi zinatengenewza kwa acrylic au fiberglass. Zinakuja vipande vitatu vinaunganishwa kwenye site. Naweza kuzipata wapi Dar?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Angalia picha ustaajabu hapo chini

    Ule mradu wetu wa bwawa umefika asilimia ngapi?
  5. blogger

    JamiiForums Tanzania Mmmh! Kapigage picha za hivi?

    ..
  6. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI WA PICHA: Wakuu wa Mikoa kuingilia soka Tanzania

    mwanajamvi jionee mwenyewe haya mambo yalikotokea
  7. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha hii ni ya tukio la mauaji ya mvuvi huko Masese, Uganda

    Nimekutana na hii taarifa nahitaji kujua kama ni kweli tukio hili limetoa Masese Uganda.
  8. YETU MOTORS CO LTD

    JamiiForums Tanzania Elimu picha:Kazi ya defroster button

    KAZI YA DEFROSTER BUTTON kwenye gari ni kukausha au kuongeza joto ili kukausha vioo vya gari wakati wa hali ya mvua au unyevunyevu unaosababisha vioo kuwa na ukungu au majimaji na kukuziba kuona vizuri nje. HIZI BUTTON HUWA KWENYE DASHBOARD YA GARI MFANO Namba 1. Ukibonyeza hiyo button...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ya wanyama wanaoonekana wakiwa mbugani imetengenezwa

    Salaam wana JamiiCheck Hii picha inanipa ukakasi kuitofautisha kama imetengenezwa na Akili mnemba au ni ya kweli, wataalamu wa masuala haya naomba msaada wa kupata uhalisia wa picha hii tafadhali.
  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano

    Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano. Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza Mwanaume wake. Mwanamke anafikiri, naenda kuanguka na siwezi kupanda, kwasababu nyoka atanin'gata...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

    Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
  12. excel

    JamiiForums Tanzania Waliosoma CUBA a.k.a Legends ndio wataelewa hizi Picha

    Kuna ukweli mkali sana ambao utaeleweka kwa wachache.
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Kada wa CHADEMA ambae husema ukweli daima.

    👇
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siku Mungu akinijalia kadri ya mapenzi yake nitanunua chuma hiki alicho simama nacho alex jones katika picha hii

    "Labda najipiga fix tu, ila sio kosa kutumaini"
  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Picha: Amesema kama nampenda tushone hivi kwa gharama zake halafu twende kwao Sinza kwa miguu

    Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ichambue hii picha kwa maana ulivyoielewa

  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: TV Hisense Inch 55 imeacha kuonyesha picha

    WanaJF, Poleni na majukumu. Kama mada inavyosomeka kwenye kichwa cha habari TV ya Hisense imeacha kuonyesha picha na ninahisi kwamba kama bulb zake zimeungua. Msaada tafadhali kwa mafundi waliopo kwenye group ili niweze kuitumia bila gharama kubwa. Asante, Maramojatu
  18. excel

    JamiiForums Tanzania Umemtambua nani kwenye hii picha? watoto wa 2000 tulieni kwanza

    Taja mmoja pita ukae... watoto wa 2000 hawaelewi kitu hapa
  19. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa na mwanao aliye-disco chuo kisha kupiga picha na 'graduation gown'?

    Mtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020. Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati anataka ampe vyeti ili amtafutie connection ya kazi. Je, umewahi kupatwa na hali kama hii?
  20. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa Wadada na picha za utupu

    Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bora na mimi nitoe somo kidogo, Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa wasichana wanao jiheshimu na kutaka kulitunza Hekalu takatifu, (mwili ulio umbwa na kubarikiwa na...
Back
Top Bottom