picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa picha Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh Waziri wa ulinzi wa Serikali ya Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Mfahamu kwa picha brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh Waziri wa ulinzi wa Iran.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kuna muda ukiwafikiria hawa members wa JF kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael

    Kuna muda ukiwafikiria kina Faizafoxy, Adimisago au Malaria 2 kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael . Hawa watu wako rigid, ni wagumu kuwabadilisha hata kama msimamo wao utagharimu uhai
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania Picha makamanda wakuu wa Hezbolah waliuwawa ya tangu kuanza kwa mashambulio ya IDF

    Karibu makamanda wote waliohudumu wameuwawa na kuchaguliwa wengine na pia watawawa tu USSR
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe . Amefika hapo kwa...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Wakili msomi Tundu Lissu akiwa na Mahakamani na mteja wake Askofu Mwanamapinduzi

    Imekaa vizuri
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania Star TV kwenye kisimbuzi cha azamu inatatizo la picha tangu asubuhi je hawajui?

    Tangu asubuhi Star Tv haioneshi picha ni sauti tu inamaanisha hawa jamaa hawajui nini kinaendelea au ujinga wao tu USSR
  7. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Picha: Muuza Madafu katika majukumu yake ya kiserikali.

    Na mpiga picha wetu. Muuza madafu akiwa katika vazi rasmi la ajira yake,Naaam ni yeye kabisa akiwa katika shughuli zake za kiserikali.
  8. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania POTOSHI: CHAPISHO LA NOTI YA SHILINGI 10000 IMEWEKWA PICHA YA SAMIA KAMA MWANAMKE WA KWANZA RAIS

    Picha hizo hapo
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Maisha ni mafupi sana, ona huu uthibitisho wa picha

    Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao wametangulia mbele ya haki Maisha ni mafupi tupendane na kutendeana wema kabla mmoja wetu hajatutoka...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

    Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Iran aliuawa kwa mlipuko wa Pager?

    Israel wana tabia moja. Wakifanya yao wananyamaza. Huwa huwakuti wanazungumzia kitu. Wananyamaza tu kama si wao. Huwa hawaelezi wamefanyaje. Hata muwatukane muwalipue muwafanyaje. Wananyamaza tu. Wataalamu wanasema Israel huwa ni wabaya zaidi ukiwachokoza kisha wakanyamaza tu. Haya wiki au...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Picha: Bodaboda huwa wanawahi wapi?

    Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa amelazwa hospitali ilikuwa na chupa ya Konyagi kwa pembeni

    Salaam Wakuu, Nimekutana na chapisho hili kutoka Twitter, ina ukweli?
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mbowe apiga picha ikiwa na chupa ya Konyagi nyuma yake

    Habari Wakuu, nimekutana na picha ikimuonesha Mbowe amepiga picha mbele ya TV huku nyuma kukiwa na chupa ya Konyagi. Je, picha hii ni halisi? ---
  15. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii chuma ya umeme iliyoteka mitandaoni ni aina gani?

    Kumekuwa na mjadala tweeter juu ya chuma ya UMEME wengi wanadai hii ni Tesla S7 na wengine wakidai ni BYD Co na wengine wanasema ni Changan Deepal S7. Mtaalamu wa haya magari Mad Max utatusaidia kujua hili gari angalau na Sisi wengine tunaweza kuanzia kujichanga Kwa miaka ya baadae tumiliki na...
  16. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu hizi picha

    Je wanatumia program/ application gani ku create hizi pc wakuu??
  17. usedphotocopytz

    JamiiForums Tanzania Badilisha Kaseti na Negative picha za zamani kuwa Digital.

    Karibu Tunapatikana Ilala Amana Karibia na Hospital Ya amana. Wakazi wa dsm tunaweza kukufata wa mikoani unatuma kwetu. Malipo Baada ya Kazi. 0715331233 Piga au sms au whatsapp
  18. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu picha mbalimbali za viatu moccasins kali za kisasa

    Moderator nikuombe usiunganishe Uzi huu kwingineko Wadau hamjamboni? Tafadhali tupia picha ya moccasin kali ya ukweli, weka Bei zake na sema wapi vinapatikana
  19. Magical power

    JamiiForums Tanzania Umeelewa nini katika picha hii ya mchoro?

    Itazame vizuri hiyo picha ya mchoro, halafu niambie umeelewa nini. Nasoma comments zote.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara unayoweza kupata kwa kuweka mtandaoni picha ya tiketi yako ya ndege?

    Kumbuka kila unapo post Ticket yako ya Ndege unahatarisha usalama wako kama ifuatavyo a. Kwa kutumia Msimbo Pau (Barcode) ya tiketi, Wadukuzi wanaweza kupata taarifa zako na kuzitumia kukufanyia Ulaghai (Phishing). b. Ni rahisi mtu kubadilisha au kuahirisha safari yako kwani anahitaji jina na...
Back
Top Bottom