Jamaa anasajili line za simu,lakini Moja haikai wala2haisomeki!Asee 🤔
Tupia neno moja kwa kuangalia picha hii.. kuna mengi sana yamejificha hapo
Hapo mnaenda kiteam... so mnapofanya vizuri kamishen inakuwepo but haikidhi.. wajanja wa hizi kazi ndio hucheza na wazee wa Tuma kwenye namba hii angalau wasikose kabisa..Pesa ya facilitation inatoka au? Kama nauli hiv hel ya chai?
Kuna namna inaweza kutumika jamaa hawa wa sales wakafanya harakat z tuma kwa namba hii?Hapo mnaenda kiteam... so mnapofanya vizuri kamishen inakuwepo but haikidhi.. wajanja wa hizi kazi ndio hucheza na wazee wa Tuma kwenye namba hii angalau wasikose kabisa..
Kabisa mkuu.. Tatizo vijana wengi hatuamini kuanza vibiashara vidogovidogo.. Hata kama kuna ugumu, Lakini cha kwako unakua!!Mi naona vijijin na sub urban kumezidi
sasa zile namba unazani zinapatikanaje... iko hivi.. nakusajilia mpaka mwisho nakwambia mtandao unasumbua ila ukweli ni kwamba ussjili ilikamilika, hapo anakua kapata line ya kuiuza kwa tapel. ndio maana tunasisitizwa kukagua mara kwa mara namba zetu za NIDA zimesanili namba zp. usiyoijua futa fasta.Kuna namna inaweza kutumika jamaa hawa wa sales wakafanya harakat z tuma kwa namba hii?
Hii ni barrier kubwa sana, although shida inabebana na shida watu wakisema hawana mitaji waeleweke vizur. Ndo mana tunataka serikali iwe na miradi strong endelevu ya kuempower vijana kwa life and behaviral skils.. ule mradi wa BBT kilimo wa Yule jamaa umeusikia ulipoishia?Kabisa mkuu.. Tatizo vijana wengi hatuamini kuanza vibiashara vidogovidogo.. Hata kama kuna ugumu, Lakini cha kwako unakua!!
Akili imeganda kwenye kutafuta ajira..
Tunaangaliaje mkuu!sasa zile namba unazani zinapatikanaje... iko hivi.. nakusajilia mpaka mwisho nakwambia mtandao unasumbua ila ukweli ni kwamba ussjili ilikamilika, hapo anakua kapata line ya kuiuza kwa tapel. ndio maana tunasisitizwa kukagua mara kwa mara namba zetu za NIDA zimesanili namba zp. usiyoijua futa fasta.
Nyota, Mia Moja Na Sita, Reli! *106#Tunaangaliaje mkuu!