picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rihanna na A$AP Rocky wanatarajia mtoto wa tatu

    Rihanna amethibitisha kuwa ni mjamzito wa mtoto wa tatu baada ya kuonyesha ujauzito wake hadharani kwenye hafla ya Met Gala 2025. Msanii huyo maarufu alitinga kwenye zulia jekundu akiwa amevaa vazi la kifahari lililobainisha wazi tumbo lake la ujauzito, jambo lililowafurahisha mashabiki wengi...
  2. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Kwenye uzi huu weka picha ya mtu ,kiongozi unae dhani kuwa ni tatizo hapa nchini

    Nimeona nilete hojq hapa kama nilivyo ona sehemu fln wakija dili watu ambao ni vikwazo kwa inch hii. Hapa inapazwa uweke picha ya muhusika tu kisha usiandike chochote kisha sepa zako muhusika itamfikia hbr hii kwa namna fln hata kama hatumii mitandao ya kijamii Karibuni sasa tu share picha zao...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Trump apost picha akiwa amevaa mavazi kama Papa, Uongozi wa Kikatoliki New York wamshukia

    Rais wa Marekani Donald Trump amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha akiwa amevaa kama kiongozi wa kanisa Katoliki duniani (Papa). Hii inakuja siku chache baada ya kuulizwa na Waandishi habari kuhusu nani angependelea awe papa, akajitaja yeye mwenyewe lakini ghafla akabadili na kuonesha...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimeumia kuona moja ya picha ya crime scene nyumbani kwa mdude kuna choo cha mtoto.

    Mtoto mdogo kama huyu unakuta alishuhudia baba yake anapigwa and maybe anaweza asimuone tena
  5. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya utoaji zawadi mtumishi bora ikileta picha ya ubaguzi

    Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa. Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Kuna ukweli katika hili asemalo huyu Mama

    Mwanaume anapoanza ukimya mwingi katika mahusiano, usimuone ni mjinga na mpole ukadhani sasa uko huru kufanya lolote na kumpeleka utakavyo. Ukimya wake unamaanisha, ameumia Ukimya wake unamaanisha, hana furaha Ukimya wake unamaanisha, ameona humthamini Ukimya wake unamaanisha, amechoka na tabia...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Picha hii inakupa somo gani?

  8. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya wanaume kutumia picha za wadada warembo kupiga punyeto

    Ndugu zangu. Katika jambo la kujimaliza , wanaume wengi wamekua wakitumia picha za warembo mbali mbali kujimaliza kwa kuwapigia punyeto huku wakiamini wameridhika kabisa. Je, ni sababu zipi zinazopelekea hasa matumizi ya picha za warembo pindi mwanaume anapotaka kujimaliza ubongo wake na yapi...
  9. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Picha: Wana CCM Uyole wapewa Mo Energy, Mama kafungua nchi

  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Halafu mwanaume unawezaje kwenda photoShop kupiga picha za kupost siku ya Happybirthday yako?

    Ni kweli hainihusu kabisa lakini lazima uambiwe ukweli bana. Mwanaume unatakiwa uwe tofauti na jinsia ya kike bana. Mods ni Vyema na haki sasa mkawaorodhesha watu wenye I'd zaidi ya moja maana tunapata upinzani mkali sana kumbe unashindana na jamaa yuleyule mwenye ID 3 😁 Mkiwaorodhesha...
  11. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Pajue Iringa kwa kupitia picha

    Habari zenu wana JamiiForums, nimatumaini yangu wote ni wazima na wale wenye changamoto za hapa na pale nawaombeeni mzivuke salamaa.. Sasa basi kwakuwa jukwaa letu hili ,, linatuleta watu toka sehemu mbali mbali za nchi yetu ya Tanzania ,, leo nimeona niwaletee picha mbali mbali za mkoa wa...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Wakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk. Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia...
  13. puker

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa picha mjongeo (Animation)

    Habari, nahitaji mtu anaweza kutengeneza picha mjongeo aina ya Animation. Kwa mawasiliano Zaid karibu inbox
  14. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je, ukiona picha za Instagram za girlfriend/boyfriend wako akioa au kuolewa—utafanyaje?

    Tuseme upo kwenye Instagram zako unascroll tu kawaida, halafu ghafla unakutana na picha za pre-wedding au harusi ya mtu ambaye bado ni girlfriend/boyfriend wako—yaani hamkuachana rasmi, hamkujua mmemalizana vipi, lakini yeye anaendelea na maisha kama vile haukuwepo. Na picha zimepostiwa saa...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TEC iwachukulie hatua WASAFI MEDIA MARA MOJA Kwa kupotosha kimakusudi Maneno alosema Kardinali Rugambwa huku wakitumia Picha ya RAIS WA TEC!!

    Ndugu zangu katika Kristo YESU. Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno. Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA HABARI HII. Muwachukulie Hatua Mara Moja, WASAFI KWA MAKUSUDI NA KWA KUJUA , Wametumia Maneno ya...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwijaku alivyosambaza picha za utupu za Menina nikajua hana akili

    Mwanaume anayesambaza picha za utupu za mpenzi wake,hana akili. Kushinda ile kesi haimaanishi hakufanya,mahakama zetu tunazijua Ukiangalia matwndo yake tu unajua Mwijaku amekulia makuzi ya kuunga unga sana anajifariji kuponya vidonda vya utotoni Toto zuri kama lile mwijaku akariharibia maisha...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hii ndio picha halisi ya Yesu

    Watu wengi hutamani kumuona Yesu. Wanajiuliza, “Alikuwa na sura gani? Alionekana vipi? Alikuwa mtu wa namna gani?” Wengine hujaribu kutengeneza picha kwa mawazo, ndoto au sanaa. Lakini kuna njia moja ya uhakika ya kumuona Yesu kwa macho ya kweli ya rohoni kupitia Neno lake. Ni kama vile...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Huwezi Kupata Kamwe Picha Kama Hii kutoka CHADEMA ya Stephen Wasira Akisalimiana Na Protase Kardinali Rugambwa hii Leo.

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa . Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya ajali ya Mkurugenzi wa TANESCO hata katika picha yanatia shaka sana. Polisi wajibu haya maswali

    Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli? Sasa...
  20. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa kutafsiri picha za Masoud Kipanya

    Karibuni tushee maana zilizo nyuma ya picha za bwana MASOUD KIPANYA. Hasa zile zenye mrengo wa kisiasa
Back
Top Bottom