picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Picha: Baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa kwenye kupanga mikakati ya ushindi kwenye majimbo waliyotia nia

    Hawa ni baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa wanapanga miakakati mizito namna ya kushinda majimbo waliyotia nia. Kwa karibu hapa namuona mrembo Sirgada na mzee wa jimbo la Kawe mheshimiwa Kileo. Kule namuona mzee wa jimbo la Mwanga mheshimiwa Mchome na waheshimiwa wengine. Mambo ni mengi muda...
  2. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Hii picha imenihuzunisha sana, nani wa kulaumiwa?

    Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho. Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kuiponya Tanzania. Anayeuliza itafanikiwaje? Muoneshe Picha hizi!

    Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election? Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Umeelewa nini kwenye hii picha?

    Ninaomba mnieleweshe,nimeshindwa kuielewa!
  5. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi hizi mbegu ndiyo zinapotezwa jumla na GMO?

    Nimeona kuna upotevu wa kasi sana wa mbegu asilia kama hizi ambazo chakula chake kilikuwa na ladha nzuri sana nutritive sana
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Ndoa siyo klabu ya mashindano

    NYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba, ndoa haikuwahi kuwa kwa ajili ya viongozi wawili. Mara tu mwanamke anapokataa kumruhusu mwanaume...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Hapa ni wapi?

    Hapa ni wapi? Ile milima kwenye background ni wapi?
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Shaban Chilunda alirogwa baada ya kupiga picha na Rais?

    Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda Picha moja nzuri sana Nasikia wenzake walimuonea sana wivu. Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli. Sasa hata hajulikani...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Ushauri kwa wanaume toka kwa mwanamke

    Wapenzi Wanaume, Hakuna aibu kusema, "Babe, siwezi kumudu hicho kitu." Usiende kukopa au kuwa na madeni ili kumfanya mwanamke afurahi, hawatakujali. ishi maisha yako kwa uwezo wako, vinginevyo utakufa mapema kwa sababu ya mfadhaiko. Na kabla hujafa, mkeo au mchumba wako atakuwa amekuwa na...
  11. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Baada ya picha ya muigizaji akiwa anachat ICU sinema imekuwa rasmi.

    Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
  12. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    Halafu utasikia fulani kalazwa taabani ,ndugu na majirani roho zipo juu.
  13. Atukuzwee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho ungekua wewe ni mimi ungeweza? nimeambatanisha na picha kama ushahidi

    Kuna watu ni wagumu saana kuelewa wanadai kwamba kisa changu nilicholeta ni cha uwongo mrejesho na ushilahidi huu hapa
  14. U

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii inayodaiwa ni watu walienda kwenye interview ya TRA

    Je picha hii ni halisi au sio halisi? Hawa watu ukiwaangalia vizuri sura zao kama zinafanana hasa wanaume, hata nguo walizovaa wengi zinafanana, na kikawaida mistari haiwezi kunyooka kiasi hiki.
  15. African businesses

    JamiiForums Tanzania Jipatie mashine ya kutengenezea picha

    Nauza mashine ya kutengenezea picha mbao kwa bei kitonga kabisa, mashine bado ni mpya kabisa nicheki uchukue mzigo Bei ni sh 250000 Dar es salam Simu 0617009453
  16. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Wanajamiiforums tufahamiane hata kwa Kila mtu apost picha yake. Tuanze na Sky Eclat apost hapa

    Tumekua tukishare ideas mbalimbali, ni muhimu kufahamiana japo kwa picha unashanga siku umeenda kijijini Mpwayungu unapokelewa vizuri na Faiza 🦊 Fox....... Tuanze sasa mm yakwangu ntapost mwishoni
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out'

    Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out' kutokana na kusherehekea hii sikukuu, tuone kama wana vigezo au laa. Tunajua ni chaguo lako, awe ni mrefu, mfupi, mnene, mwembamba n.k; lakini ni muhimu pia kupongezana. Ata kama anaonekana kama mzazi wako, na ana makunyanzi; huyo...
  18. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

    Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
  19. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Katibu Mwenezi CCM, Amos Makalla amtembelea hospitali Mwenezi wa BAWACHA aliyedaiwa kushambuliwa na mlinzi wa Heche

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo , unyenyekevu na ukarimu wa hali ya juu sana,ndio chama chenye kujua kila mtu anathamani na mwenye...
  20. Mzee Nyerere

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stepehen Wasira: Rais Samia amejenga hospitali na zahanati, mkombozi mkubwa kwa wanawake

    == Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa hususan ujenzi wa hospitali na zahanati ambazo ni mkombozi mkubwa kwa wanawake. Wasira amesema hayo jana Machi 29, 2025 Itilima mkoani Simiyu alipokuwa akiwahutubia wananchi katika mkutano...
Back
Top Bottom