Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
Aliyekuwa nyota wa WWE Marehemu Chris Benoit anaonekana akipiga picha kwa ajili ya shabiki katika ofisi ya Dk Phil Astin mnamo Juni 22, 2007, kwa kuitazama watu walidhani ni vile Benoit ni mcheshi na anapenda sana mashabiki zake.
Ila ajabu ni kuwa baadaye ilijulikana wakati anapiga picha hii...
Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea.
1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard.
Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
Air Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC).
Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.
Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana.
So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa Gerezani Lijualikali baada ya miezi Kadhaa akajiunga na CCM.
#NoReformsNoElection
Picha hapa...
Picha au video inaweza kudaiwa kurekodiwa sehemu tofauti na eneo halisi, jambo linaloweza kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii.
Ili kubaini Uhalisia wa eneo, chunguza alama zilizopo barabarani na majengo kwani zinaweza kuonesha utambulisho wa eneo husika.
Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza.
Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za ccm na Rais Samia kama mwenyekiti wa Chama Taifa.
Wale abiria waliokuwemo wametune Sauti iliyokuwa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
Tukizungumzia hasa mitoko ya dating.
Inafahamika wengi wenu huwa mnapigwa foto na washikaji zenu ila cha ajabu huwa hamuwapost, mnajipost wenyewe tu.
Jiulize kwa nini mwanamke hampost mwanaume wake hata kama kuna picha ya pamoja walipiga wakiwa dating?
Hapa ndio ujue wanawake ni matapeli...
Nadhani Sisi sote tupo salama wakuu, bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Mnamo tarehe 18.03.2025 majira ya Saa nne usiku wakati narudi Kutoka mihangaikoni nikashuka kituoni kwangu Kibaha picha ya ndege.
Kutoka picha ya ndege mpaka ninapokaa Pana umbali kidogo kwa hiyo kwa...
Nimepiga picha kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Lakini hiyo picha imejirekodi kuwa imepigwa mwezi March 2200, Wakati nimepiga mwezi March 2025.
Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.