picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu kuzaa mtoto mweusi kama hii picha nn kinatokea??

    Omba isikutokeee sikia kwa watu
  2. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto aoomba kukaa na upinzani kutengeneza serikali ya umoja

    WAKUU habarini za jion Naangalia itv hapa naona habari njema MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Post picha hapa ya Tanzania isiyooneshwa katika TV

    Weka picha ya Tanzania Ambayo hauwezi kuiona katika TV . Lengo ni Ku-raise awareness Kwa jamii kuwa Tuna Watanzania wenzetu wanoishi maisha magumu na wapo katika mazingira hatarishi. Kupitia picha hizi Serikali na wadau wa Maendeleo wanaweza kufanya jambo Asante.
  4. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha ajae akiwa kwenye picha ya pamoja na anayetarajiwa kuwa waziri wa afya

  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

    Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
  6. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Picha mbali mbali za matunda ya kisasa

    Je haya ni bora kwa afya ?
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania JAMAN wenye picha za ndoa ya MH Aziz ki Bwana harusi

    Rejea somo HAPO juu Waliohudhuria TUNAOMBA picha za harusi ya Aziz ki vs mobeto h
  8. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Drop-down picha ya geto lako hapa chini

    Mimi langu hili hapa.😁
  9. and 100 others

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Picha na Videos kwa AI: Shiriki na Tazama Kazi za Kisanii za Akili Bandia!

    Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI. Katika mjadala huu, tunakaribisha: ✅ Kushiriki picha/video zilizotengenezwa na AI. ✅ Kujadili uwezo wa AI katika...
  10. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Muda mwingine unapokuwa unahitaj extra motivation chukua picha yako ya utotoni, then iangalie kwa kina huku uki-reflect kwa kina jambo linalokusumbua

    The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo. Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya? Jiulize hivi huyu dogo namtendea haki kweli yeye na wale waliomlea kwa hatua hii ndogo niliofika? Jiulize hivi huyu dogo angejua kuwa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

    Wadau hamjamboni nyote? Bahari nzuri ya kupendeza ya galilaya imefanana na bara la Afrika Maji yake Yana baraka kubwa sana Mungu ibariki Israel
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tumia jedwali hili la picha, ili uonekane nadhifu na mjanja kila wakati

  13. L

    JamiiForums Tanzania Mnajifunza Nini Katika Picha Hii ya Hayati Dkt Magufuli Akikumbatiana na Dkt Jakaya Kikwete kwa Tabasamu na muonekano wa macho ya hao wengine?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni picha ya kumbukumbu nayowaleteeni hapa Jukwaani ikiwa inaonyesha Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne ambaye pia ni Mwanajeshi mstaafu lakini pia waweza kumwita Jasusi Imara na Komandoo wa Mikakati .Akikumbatiana kwa tabasamu na...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii picha kama ni ya IA au ni ya camera

    toa sababu
  16. U

    JamiiForums Tanzania Weka picha mbalimbali za wapenzi wa Simba wakiwa na huzuni

    Niwatakie usiku mwema
  17. sanalii

    JamiiForums Tanzania Picha za kipekee zikionesha muonekano wa mashetani, take a look.

    One is responsible for legalizing crime. The other is responsible for financing crime And the last demonic left guy is responsible for committing the crime against humanity and he has an ICC arrest warrant. Ladies and gentlemen, here is how demons looks like.
  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Angalia picha ya nyumba hii toa ushauri

    Nyumba hii ina 1 Master bedroom LIving room KItchen Dinning Store Public toilet Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669 Turudi kwenye mada unaonaje hii design
  19. M

    JamiiForums Tanzania Picha zinajieleza CHADEMA Vs CCM

    CCM vs CHADEMA. Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu? CCM wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa CCM CHADEMA ya Lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa. Katika suala la kujenga amani nchi yetu CHADEMA ya Lissu...
  20. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

    Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha. Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na...
Back
Top Bottom