Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia.
Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa chini👇
Habari hii ya leo inafanana sana na habari inayopatikana kwenye Biblia Tukufu (Agano Jipya) katika kitabu cha Luka Mtakatifu 19: 1-10 inayoelezea Yesu akiwa safarini alipoingia mji wa Jeriko ambapo kundi la watu lilimsimamisha kutaka kuongea nae. Akiwa anaongea na watu hao Mtu mmoja jina lake Zakayo alipanda mti wa Mkuyu (Sycamore Fig Tree) ili amuone Yesu. 👇
Mafundisho:
Kwa macho ya kawaida unaweza ukadharau haya matukio mawili ila kwa binadamu waliojaliwa macho ya Kiroho, tukio hili ni unabii mkubwa sana juu ya Tundu Lissu na Tanzania.
Sote tunafahamu kuwa Bwana Yesu ni alama ya ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi hivyo kwa sisi tuliojaliwa macho ya kiroho tukio hili ni ishara kuwa Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kwa Watanzania ili kuwakomboa kutoka vifungo, utapeli, mateso na ufedhuli wa CCM.
Muwe na usiku mwema.
Lord denning,
Ukonga