Picha: Wanaume na vijana wa kiume tukumbushane

Picha: Wanaume na vijana wa kiume tukumbushane

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,028
Reaction score
51,266
Wanaume, ni kumbusho tu—baadhi ya shule zimefungwa, na zingine zinafungwa kesho, na miongoni mwa wasichana hawa wanaweza kuonekana wakubwa, walioiva, wenye kuvutia na kutetema, lakini msiwachanganye. Wanakua haraka na wanajua mengi, lakini kwa sheria, bado ni wanafunzi na watoto.

Jiepusheni nao. Haifai kukaa miaka 30 gerezani kwa sababu ya starehe ya muda mfupi kupitia watoto wa shule. Ukizidiwa, baasi ingia kitaa tafuta afananaye nawe!

Angalizo naomba msinishambulie kwa maneno, jana tu nimeona watu wakitoa offer za taxi stand na wengine bajaj na wengine chips
1744261520799.png
 
Hiyo picha ni AI generated. Unless mama yao atakuwa amevunja record ya kuzaa mapacha 25+ in a day.
 
Hiyo picha ni AI generated. Unless mama yao atakuwa amevunja record ya kuzaa mapacha 25+ in a day.
Ni kweli, lengo langu ni kuonyesha how young the girls are
 
Back
Top Bottom