Wengi wanaangukia hiyo ya kwanza.
angalia vya miguuJe kama mtu hana Vidole
Sio wengi bali wote! Hiyo myengine itakuwa ni mikono ya nyani sio binadamuWengi wanaangukia hiyo ya kwanza.
Labda na wale wenye tudole kama tangawizi(jokes)😂😂Sio wengi bali wote! Hiyo myengine itakuwa ni mikono ya nyani sio binadamu
Pacha tunafanana aisee.At smart 😁
Nimesave huu mkono 😊