Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,259
- 6,630
Hii brender nimeagiza kutoka china kupitia kikuuu Thamani yake ni 45000/=
Ile nimepokea Toy
Ile nimepokea Toy
Hata sijuiWhat does it blend?
Ulikuwa unataka kublend nini ulipoagiza?What does it blend?
Eeh...!!!Huu ni uongo alafu ni meme za mitandaoni... Kama kweli tuma screenshot wakati unaagiza au wakati unapokea mzigo
Hicho kipicha nakiona kikizunguka mitandaoni zaidi ya miezi mitatu
Kaniuzie mtoto wangu amekipenda.Hii brender nimeagiza kutoka china kupitia kikuuu Thamani yake ni 45000/=
Ile nimepokea ToyView attachment 3297129
Thoughts🤣What does it blend?