picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Anthony D. Luvanda Kuna MC wanapost video na picha ambazo zinadhalilisha utu wa mtu

    “Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la mc kupost video clips kwenye sherehe lakini sasa wengine wanapost mpaka video ambazo zinadhalilisha utu wa mtu sasa inabidi kuzingatia sio kila kitu unapost na kama unavyojua tasnia ya MC imekuwa ikivamiwa na watu wengi na kila mtu anataka kuonekana yeye ndo...
  2. SI KWELI Iceland mwaka 2024 ilitangaza zawadi kwa wanume watakaokwenda kuoa wananwake wa Taifa hilo

    Imeelezwa kuwa mwaka 2024 serikali ya Iceland iliweka sheria mpya kutokana na upungufu wa wanaume, ilikuwa inawalipa wahamiaji wa kiume $50,000 kwa mwezi iwapo wakiwaoa wanawake wa nchi hiyo
  3. Picha: siagizi tena bidhaa kutoka china

    Hii brender nimeagiza kutoka china kupitia kikuuu Thamani yake ni 45000/= Ile nimepokea Toy
  4. Picha la siku

    Mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa na Waziri wa madini Anthon Mavunde katika viwanja vya bunge jijini Dodoma leo USSR
  5. Picha yenye unabii mzito kwa Tanzania

    Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia. Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa...
  6. Picha: Je wewe upo katika ipi ya hizi nne?

  7. Picha: Baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa kwenye kupanga mikakati ya ushindi kwenye majimbo waliyotia nia

    Hawa ni baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa wanapanga miakakati mizito namna ya kushinda majimbo waliyotia nia. Kwa karibu hapa namuona mrembo Sirgada na mzee wa jimbo la Kawe mheshimiwa Kileo. Kule namuona mzee wa jimbo la Mwanga mheshimiwa Mchome na waheshimiwa wengine. Mambo ni mengi muda...
  8. Hii picha imenihuzunisha sana, nani wa kulaumiwa?

    Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho. Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia...
  9. No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kuiponya Tanzania. Anayeuliza itafanikiwaje? Muoneshe Picha hizi!

    Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election? Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania...
  10. Umeelewa nini kwenye hii picha?

    Ninaomba mnieleweshe,nimeshindwa kuielewa!
  11. Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  12. Picha: Hivi hizi mbegu ndiyo zinapotezwa jumla na GMO?

    Nimeona kuna upotevu wa kasi sana wa mbegu asilia kama hizi ambazo chakula chake kilikuwa na ladha nzuri sana nutritive sana
  13. Picha: Ndoa siyo klabu ya mashindano

    NYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba, ndoa haikuwahi kuwa kwa ajili ya viongozi wawili. Mara tu mwanamke anapokataa kumruhusu mwanaume...
  14. Picha: Hapa ni wapi?

    Hapa ni wapi? Ile milima kwenye background ni wapi?
  15. Shaban Chilunda alirogwa baada ya kupiga picha na Rais?

    Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda Picha moja nzuri sana Nasikia wenzake walimuonea sana wivu. Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli. Sasa hata hajulikani...
  16. Picha: Ushauri kwa wanaume toka kwa mwanamke

    Wapenzi Wanaume, Hakuna aibu kusema, "Babe, siwezi kumudu hicho kitu." Usiende kukopa au kuwa na madeni ili kumfanya mwanamke afurahi, hawatakujali. ishi maisha yako kwa uwezo wako, vinginevyo utakufa mapema kwa sababu ya mfadhaiko. Na kabla hujafa, mkeo au mchumba wako atakuwa amekuwa na...
  17. Baada ya picha ya muigizaji akiwa anachat ICU sinema imekuwa rasmi.

    Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
  18. Picha ya siku

    Halafu utasikia fulani kalazwa taabani ,ndugu na majirani roho zipo juu.
  19. Mrejesho ungekua wewe ni mimi ungeweza? nimeambatanisha na picha kama ushahidi

    Kuna watu ni wagumu saana kuelewa wanadai kwamba kisa changu nilicholeta ni cha uwongo mrejesho na ushilahidi huu hapa
  20. U

    POTOSHI Picha hii inayodaiwa ni watu walienda kwenye interview ya TRA

    Je picha hii ni halisi au sio halisi? Hawa watu ukiwaangalia vizuri sura zao kama zinafanana hasa wanaume, hata nguo walizovaa wengi zinafanana, na kikawaida mistari haiwezi kunyooka kiasi hiki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…