Mwanaume unaomba vipi picha ya mwanaume mwenzako

Mwanaume unaomba vipi picha ya mwanaume mwenzako

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
146
Kiukweli nimekufa moyo. Iko hivi ata kama una rafiki yako hamjaonana miaka buku usiombe picha yake iyo ni laana,unaomba picha eti umuone tu asa inakusahidia nini.

Kama mtu hajataka kuposti picha yake kausha unaomba picha ya nini?

FB_IMG_17541376236519235.jpg
 
Kuna mtu kakusanua sio vizuri kuombaomba picha ya kidume chenzako ukaona ufanye ku-share nasi
 
Tatizo linaanzia kwako..kwamba wewe umekaa kuombwa ombwa....Maana wapemba hujuana kwa vilemba vyao
 
Sasa si u deal na aliyekuomba picha
 
Back
Top Bottom