Picha: Diamond Platnumz akiwa ametupia mwilini zaidi ya Tsh. Milioni 659!

Picha: Diamond Platnumz akiwa ametupia mwilini zaidi ya Tsh. Milioni 659!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,912
Reaction score
16,519
Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi Chain wenye thamani ya robo milioni ya dola.

1754754654717.png
Orodha ya mavazi na vito:

• Prada Sunglasses – $607
• Moncler Balaclava – $285
• Louis Vuitton Embroidered Calfskin Varsity Jacket – $6,050
• Wasafi Chain – $250,000
• Chrome Hearts Cross Ball Chain Small Necklace – $3,799.95
• Balenciaga Men’s Moto Logo Belt in Black – $525
• John Varvatos The Rocker Leather Pants – $1,998
• Balenciaga Men’s Venom Leather Combat Boots – $1,995

1754754987299.png

1754755003787.png

1754755021189.png

1754755036926.png

1754755054453.png

1754755069694.png

1754755079655.png

1754755104869.png
 
Umaskini wa wasanii rahaa sana yani pesa hizo umeshindwa kumzidi rostam unazidi kusifia raisi wa ccm
 
Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi Chain wenye thamani ya robo milioni ya dola.

Orodha ya mavazi na vito:

• Prada Sunglasses – $607
• Moncler Balaclava – $285
• Louis Vuitton Embroidered Calfskin Varsity Jacket – $6,050
• Wasafi Chain – $250,000
• Chrome Hearts Cross Ball Chain Small Necklace – $3,799.95
• Balenciaga Men’s Moto Logo Belt in Black – $525
• John Varvatos The Rocker Leather Pants – $1,998
• Balenciaga Men’s Venom Leather Combat Boots – $1,995

View attachment 3436875
View attachment 3436876
View attachment 3436878
View attachment 3436879
View attachment 3436880
View attachment 3436881
View attachment 3436883
View attachment 3436884
Condom tu ingezuiaa hii post.
 
COMMENTS ZA JUU NYINGI ZINAONESHA TULIVYO NA WAPUMBAVU WENYE ROHO MBAYA NA CHUKI ZA KIJINGA
 
bado hajatuonesha mjengo wa kistar hebu ajenge hekalu ili sifa ziive kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom