Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema watakaohitaji kutumia Daraja la JP Magufuli kwa ajili ya kupiga picha au kurekodi video za muziki watalazimika kuomba kibali Wizara ya Ujenzi kupitia Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza.
"Hatutakataza kufanya kazi zozote za kijamii kama vile kupiga picha...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania.
Ni picha iliyojaa nyuso za...
==
Nimekutana na hii taarifa kwenye group songezi la Whatsapp Kwa ruhusa yenu naomba tuijadili Kwa uwazi na haki,
Mimi mleta mada Kwa namna bwana huyu alivyoituliza Kilosa naona kama nafasi aliyonayo huyu DC Kwa sasa inambana sana atafutiwe nafasi nyingine ya juu saizi yake ili Taifa liweze...
Wakati mke wako akiwa mjamzto hukumbana na changamoto nyingi na maumivu makali ila maumivu makali zaidi ni wakati wa
Kuangalia njia na kusafishwa uchafu baada ya kujifungua. Hapo lazima mkono wa mtaalam uingie wote.
Ndio maana hawa viumbe wanapojifungua huwa km akili hazipo sawa.
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran...
Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma.
CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
Wale vijana ambao hawana mchango katika hili taifa basi Mimi ni namba moja.
Hapa nishapata sehemu ya uzinzii.
Kama wewe hujawai kuzini basi naomba unitukane.
Kama umewai kufanya huu upumbafu basi ukinitikana hakikisha umejitukana....!
Ujana maji ya moyo
Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol, amefurahia baraka mpya maishani mwake baada ya kubarikiwa mtoto. Msanii huyo ame-share furaha yake na mashabiki kwa ku-post picha mtandaoni, akionyesha upendo wake kwa malaika huyo.
Ndugu zangu Watanzania,
Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe.
Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
Mkiambiwa hamna akili au wengi hamna akili. Mnawakishwa na wasio na akili. Kweli Mbunge na akili timamu anaona hitaji kubwa walilo nalo ni namba maalum za magari? Watanzania wakati huo mnashangilia Simba na Yanga.
Pamoja na matukio mengi ya kusikitisha katika ajali ya ndege ya Air India nambari 171 iliyotokea jana Juni 12 mara baada ya kupaa katika uwanja wa ndege wa Ahmedabad, picha ya kusikitisha ni ya Pratik Joshi na familia yake yaani mke na watoto watatu wakiwa ndani ya ndege muda mfupi kabla...
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe
Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi
Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni raha na kuna raha kubwa sana pale unapoishi mioyoni mwa watu,pale unapoleta furaha na tabasamu machoni na mioyoni mwa watu,pale unapoonekana tumaini la watu,pale unapoonekana jawabu la matatizo ya watu,pale unapoonekana faraja kwa Maisha ya watu,pale unapoonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.