picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Picha: Said Othman Mangwelele a.k.a mchawi wa drafti wa muda wote

    Kama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa. Jamaa anakufunga anavyotaka yeye, yani kuna ile game unaona kabisa imeisha ila jamaa hataki kumaliza ,atataka akufunge ki ladha kiasi kwamba hata wewe unayefungwa...
  2. LopoLopo

    JamiiForums Tanzania PICHA inaongea mengi

    Siku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Picha: Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) yashiriki uzinduzi Kanisa la Mwamposa

    Wakuu! Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

    Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano. Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind. Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa. Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku. Awe na ofu ya...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Katuni hii inakupa picha gani ?

  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Picha yenye kutafakarisha sana

    Achana na huo mpangilio wa ukaaji.. Achana na makochi mazuri na zulia jekundu.. Itazame kiroho zaidi hata kama nyuso zao hazionekani ama hazionekani vema Ni picha iliyobeba hisia za majuto.. Wote walioko hapo walitokea majumbani kwao kwenye vitanda vyao, wakapata nafasi ya kujiandaa na kuvaa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Picha kuna post kama hizi zenye kuchochea ukabila

    Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani . Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata la gambo na makonda kwamba zio wazawa lakini wanagombea kisa tu wameoa maeneo hayo . Nyerere...
  9. curie

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha ya Rais Samia akifuatilia kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Picha inaelezea vitu vingi.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Gharama za kutuma hela ni kubwa sana

    Yaani laki 2 ya kutoa ni 6,000 ? Aisee tuacheni kutumia haya mambo ni gharama sana kutuma pesa kwa mitandao
  12. Mag3

    JamiiForums Tanzania Picha ya mwaka 2025...Mh. Tundu Antiphas Lissu atapaza sauti hata akipitishwa kwenye bonde la mauti!

    Mh. Tundu Antiphas Lissu katikati ya wasiojulikana hanyamazi! Pamoja na kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini hakunyamaza Pamoja na kupitishwa kwenye bonde la mauti hajanyamaza Pamoja na kusubiri kunyongwa kabla ya hukumu hatanyamaza Mh. Tundu Antiphas Lissu ni mtu na nusu...NO REFORM, NO...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania bhana... kwahiyo Picha za Child Benz kunenepa ndiyo ameshabadilika na kuwa na Maisha mazuri?

    Kwanini Tanzania kila Mtu anapambana Kunenepa ili aonekane Tajiri wakati 95% ya Matajiri duniani si Watu walionenepa? Chid Benz asaidiwe Kimaisha na siyo Kunenepeshwa ili asifiwe ana Maisha mazuri wakati ukweli ni kwamba bado anataabika Kimaisha mtaani.
  14. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Picha za Pacome zinavutia kama zimepigwa huko LA LIGA AU EPL

  15. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Kati ya picha hizi mbili, Moja imetumika kutengeneza picha nyingine kwa kutumia Akili Unde

    Huku ukibainisha vigezo muhimu vya majibu yako, Ni ipi kati ya picha hizi mbili, imetengenezwa kwa kutumia Akili Unde?
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi awakutanisha Paul Makonda na Mrisho Gambo, wapiga picha ya pamoja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025. Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ?

    Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ? Nilimsikia kikwete anasema ukienda kupiga kura "za kuambiwa chanyanya na zako" pia alisema uchaguzi wa Kenya ni wa uwazi sana kiasi kwamba mtu anaweza...
  18. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Hii ni kukosea au kutojua. Kwa heshima inastahili kuwepo picha za JPM daraja la Kigongo- Busisi na siyo vinginevyo

    Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia ameridhia Daraja la Kigongo- Busisi liitwe ni Daraja la JPM kama heshima maalumu kwa uasisi na utekelezaji wa wazo hilo. Kama ni kweli tumemuheshimu hivyo, basi yafaa picha za JPM angalau kila upande ziwepo. Nimepita leo, nikaona picha picha zingine tuu. Aidha...
  19. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza Kikao kizito...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Picha za satelite na wataalamu inaonesha Marekani haikufanikiwa katika pigo lake.Vinu vya nyuklia vya Iran viko salama

    Kwa kutumia ndege za kivita za mwisho katika hazina yake za Doomsday,Marekani ilitarajia kuvunja vinu vya nyuklia vya Iran ambavyo Israel ilishindwa wiki moja nyuma. Kwa mujibu wa wataalamu wa IAEA na wataalamu wa ndani wa Iran mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya mionzi kuongezeka kutoka vinu...
Back
Top Bottom