picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM, ni picha halisi ya jinsi CCM huiba kura!

    Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Bora Ya Siku iliyoteka Mitandaoni na anga la Siasa Za Tanzania. Inatembea mitandaoni kama Upepo wa Baharini

    Ndugu zangu Watanzania, Ni raha na kuna raha kubwa sana pale unapoishi mioyoni mwa watu,pale unapoleta furaha na tabasamu machoni na mioyoni mwa watu,pale unapoonekana tumaini la watu,pale unapoonekana jawabu la matatizo ya watu,pale unapoonekana faraja kwa Maisha ya watu,pale unapoonekana...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Picha ya Siku: Jasusi la Mbinguni

    Ipe caption
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1989 picha

    Picha hii ni ya aliyewahi kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hayati Dkt John Pombe Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli. Vijana wenzangu, maisha ni safari tuamini mchakato. Picha kwa hisani ya mtandao wa Facebook
  6. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hakainde Hichilema alimpigia magoti Edgar Lungu enzi za utawala wake

    Wakuu nimekutana na taarifa mdau mmoja amechapisha picha ya mtu akiwa amempigia magoti aliyekuwa Rais wa Zambia , Edgar Lungu kuwa alikuwa ni hakainde Hichelema.
  7. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tazama Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Umakini Kumlinda

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Picha: Kiss bojobojo la Clatous Chama kwa mpenzi wake

    Love is beautiful thing 🥰❣️ Je, wewe na huyo mwenzako mnaenjoy na kupata vitu vitamu kama hivi???
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Picha Ajali: Wasiofahamika wateketea kwa moto katika ajali Mufindi, gari zimeisha kabisa yamebaki majivu

    Watu wasiofahamika Wamefariki Dunia kwa kuteketea kwa moto na kubakia majivu baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso na kisha kuwaka moto na kuteketea na kusababisha vifo hivyo. Akizungumza na Mwandishi wa habari hizi katika eneo la tukio Mei 29,2025 Mkuu wa wa Polisi Wilaya ya Mufindi SSP...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Picha hii ni ya Gwajima kutoka mkutano mkuu wa CCM Dodoma Mei 29, 2025

  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Japan

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana na fursa zitakazoendelea kupatikana kupitia mahusiano hayo. Amekutana na...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Picha ya mbunge bashiru bungeni inaweza kutupa nini kilichopo bungeni

    Hapa ndio ufahamu kuwa CCM imejaza vilaza na propaganda zao. Bungeni unaweza kuona mpita njia anauliza mpita njia kuwa na wewe unapita.
  13. Top for B

    JamiiForums Tanzania Tuone picha ya Chuo alichosoma Mbunge aliwaamuru POLISI kumaliza KENGE

    Sina maneno mengi
  14. Top for B

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    Tupate picha bora ya siku kutoka Bungeni
  15. Mr Beast

    JamiiForums Tanzania Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki

    Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki. Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
  18. hp4510

    JamiiForums Tanzania Picha: Naitaji Hiki Kifaa

    Wakuu anaitaji hiki kifaa, kazi yake ni kuua mbu, unachomeka kwenye umeme then kinatoa harufu flan hivi Mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda sana hii picha kutoka The Chanzo. EBU TAZAMA!

  20. H

    JamiiForums Tanzania Picha za kuhamasisha ukombozi wa Mwafrika

    Walianza kama wapigania uhuru lakini baada ya kupewa huo uhuru wamebadirika na kuwa wakoloni wa kiafrika wenye kujirimbikizia mali kwaajili ya familia zao na siyo Afrika.
Back
Top Bottom