Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE.
Hakuna watu...
Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na umefanya jitihada za dhati kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele.Lakini watendaji wako wanakuangusha...
Ndugu zangu wapendwa mwenye line ya M PESA ambayo haitumii naomba aniuzie au aniazime kwa makubaliano. Au kama kuna anaye jua namna ya kuzipata kwauharaka zaid line za Tigo pesa na M pesa
Natanguliza shukrani
Habari zenu wazee wenzangu?
Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.
So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi...
Kumekuwa na matangazo mengi ya kutafuta wenza/wachumba siku za karibuni kupitia majukwaa mbalimbali. Sifa zinazoainishwa kwa muhitaji, mojawapo ni kipengele cha kazi; atasema anataka mwenza aliyejiajiri au aliyeajiriwa.
Kwa mtazamo wangu, katika mazingira hayo, mi naona muhitaji anayetafuta...
Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19.
Tukio tukio limefanyika katika Shule ya Sekondari Karibuni ambapo DC Jokate ametumia fursa hiyo kumshukuru...
Wakuu Kwema!
Ajira Hakuna!
Tumetoka familia Masikini Sana.
Nina rafiki zangu wengi waliokuwa wanauza uza mitumba Yao pale Karume.
Mitaji Yao wameipata Kwa mbinde Jamani! Ndugu zangu wote tunajuana humu nchini, Sisi ni masikini Sana, tunatafuta pesa Kwa taabu na nguvu nyingi, hatuwezi sema ni...
Naombeni mtujibu
Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila...
Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango?
Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi?
Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa linakwenda kukopa Tril 1.3 na kujenga vyoo vya shule na madarasa huku likitumia Cash kununua ndege za...
Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe.
Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire.
Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa.
Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi?
Je tumeamua...
Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
Dunia haiishi maajabu aiseeee. "Geshi" letu linachekesha sana kama sio kusikitisha. Anyway habari kamili hii hapa.
---
Maofisa saba wa Jeshi la Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiwa na mashtaka ya wizi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh1.16 bilioni...
@bavicha_taifa wameongoza wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake kumchangia ada na vifaa vya shule mtoto Mariam Mohamed Ling'wenya, mtoto wa mshitakiwa Mohamed Ling'wenya. Aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya baba yake. Imechangwa sh. 545,000.
Kujiuzulu kwa Ndugai kumeambatana na hisia tofauti za wananchi. Lipo kundi la wananchi libalooamini kuwa kilichomfanya Samia akasirike, kuwa mbogo na kukunjua makucha dhidi ya Ndugai kinyume cha haiba yake ya upole ambayo wananchi wameizoea ni. kutokana na Ndugai kuonyesha mshangao bungeni wa...
Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa.
Nenda kanunue vile vichupa vidogo vinauzwa around 200 tsh. kama sitakosea, kisha unaingia kando ya mji unachukua magome...