Unawakomeshaje wanawake wapenda pesa? Ila tutafute pesa

Generetaion Z

JF-Expert Member
Oct 2, 2022
343
840
Wakuu,
Kwanza nakubaliana na ule msemo tafuteni pesa,

Bana kuna hawa gold digger yani mwanamke anapenda pesa yupo radhi akuchune mpaka senti ya mwisho, bila kujali alafu ukishiwa hataki hata umtumie sms,

Wengine wanaenda mbali zaidi wanakuwambia sio type yangu🤣,

Kweli hatukatai wanawake na pesa ni ndugu wa damu ila kuna ambao hawana utu hata kidogo wala hawajui kama kuna kuishiwa, yani ukimwambia umeishiwa ye anaandika umemnyima

Yani kama mwanamke unampa pesa basi hakikisha unampa mpaka mwisho, kama haumpi basi hakikisha haumpi mpka mwisho ,yani ubahili ubahili mpaka akaipate pesa yako iwe kwa mbinde

Sasa njia moja ya kuwakomesha au kuwatest kama ni gold digger mwenye utu au asie na utu, sitisha huduma gafla ya kumsupply pesa bila taarifa,

Au kwa taarifa then uku uanaangalia reaction yake

Hakikisha nawe unampiga vizinga akikupa hata mbususu sawa unawwza kaa kidogo ukarudisha huduma maana mpe anaekupa asiekupa ni kama kutupa,

Lazima ujuwe tofauti ya kuhonga na kumsaidia mtu ,anesaidia anapata thwawabu

Ok akianza kuleta dharau basi unakausha haumpi tena pesa yako,

Siku una msubiri usiku wa manane unajuwa kabisa hapa kalala unamtumia pesa ktk namba yake bila taarifa kama laki hata laki tatu nne ile meseji imfikie tu

Then dk iyo iyo unajirudishia muamala wako hakikisha mitandao ya simu haikuangushi ktk hili 🤣🤣🤣,

Then unamtumia sms samahani nilikosea nilikuwa nataka nikutumie elfu kumi nikajikuta nimetype vibaya,

Then unalala akileta shobo vuta kula mbususu mtoe na pesa kidgo then kausha unamweka kundi la mdangaji

Tutafute pesa zaidi mara mia umpe mzazi wako kuliko mwanamke asiejali utu au ukawapa random wenye uhitaji utabarikiwa

Gold. Digger wengi hawajui kula na vipofu wanashindwa kutumia mfumo simple wa kylanda, mwanamke akikuambia hana hela juwa anaakiba ya laki sehemu,

Ila mwanaume akisema hana hela ni kweli hana hata mia , mwanamke siku mtu wako akikiambia hana hela mwezeshe siku akipata haoni ugumu kukupa kiasi chochote
 
Njia nyingine ni kumkimbia mwanamke mpenda pesa kila utapomtafuta lazima aingize suala la sherehe au vijora aaah utaumia bora kufanya yako utaepusha vitu vingi.
 
Ukishamgegeda unampiga chini mazima.

Mwanamke mpiga vizinga ni malaya tu kama malaya wengine sema tu yeye hana chimbo la kujiuza
 
Wale wapenda sherehe ni nooma,, sema umenifurahisha eti kimbia
Aaahh sasa mkuu angalia siku ya kwanza umekutana naye ukiondoka naomba ela juisi au soda yuko na rafiki yake 2000 utaacha mfano ,kesho ukitoka mishe ukivuta waya muonane utaskia" Hapa sijala,na sielewi niletee chips yai na soda baridi anaagiza kama pesa aliweka kwako ukikaa kesho linaibuka suala la sherehe,;

Wanachangiana inaweza kuwa kweli au la unajua uswazi kila mmoja anataka kujifanya don kijora cha Mombasa 7000-10000 sherehe anaomba 30000 aaah hapo mkuu jibu ujapewa na ujaomba penzi yaaan ndomana kuna mwanaume mwengine akiwa vizuri anampigia simu wanatafuta guest house mchezo unakwisha mtu anapewa nauli yake imeisha hiyo ukijifanya upo upo yaaan baadae mkiachana hawana fadhila hao viumbe utaskia yule mbahili au mgumu kikubwa mbio kimbia from Armando wa Mabibo.
 
Aaahh sasa mkuu angalia siku ya kwanza umekutana naye ukiondoka naomba ela juisi au soda yuko na rafiki yake 2000 utaacha mfano ,kesho ukitoka mishe ukivuta waya muonane utaskia" Hapa sijala,na sielewi niletee chips yai na soda baridi ukikaa kesho linaibuka suala la sherehe wanachangiana inaweza kuwa kweli au la unajua uswazi kila mmoja anataka kujifanya don kijora cha Mombasa 7000-10000 sherehe anaomba 30000 aaah hapo mkuu jibu ujapewa na ujaomba penzi yaaan ndomana kuna wanaume wengine akiwa vizuri anampigia simu wanatafuta guest house mchezo unakwisha mtu anapewa nauli yake imeisha hiyo ukijifanya upo upo yaaan baadae mkiachana utaskia yule mbahili au mgumu kikubwa mbio kimbia from Armando wa Mabibo.
Asee ngoja tukimbie🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom