pesa

  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA sio kwamba mnalazimishwa kuwa kama ACT Wazalendo bali mnakumbushwa kuwa waaminifu kwa pesa za umma

    Mnadhania pesa alizochanga Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi haikuwa mali ya umma? Mnadhania michango mliyokusanya kwa zaidi ya miaka 30 sio mali ya umma? Kwa nini msitumie vyema mali ya umma? Kujenga ofisi ya kudumu ni dalili kuwa mna uwezo wa kusimamia rasilimali na mali za umma. Miaka 30...
  2. JamiiForums Tanzania Wazee wa jamvi - mkeka ; pesa (boom🤑) uliyomla muhindi-kanji ulifanyia nini Cha kujivunia? Njoo tutoe ushuhuda

    Ni kweli watu hushinda hadi mamilioni ya pesa Ila asilimia kubwa ya pesa hurudi kwa muhindi. Binafsi naweza kujivunia kwa kukumbuka niliwahi mla muhindi laki tatu (premier bet), Nikanunua simu mwaka 2013. Hadi leo nikipigo na kujifariji ligi haijachangamka huku kuliwa kuliwa kikubwa mno.
  3. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mnaosema mapenzi ni pesa "hampendwi!!". Tazama huyu aliyeyapatia mapenzi

    ...........,................................................................... UPDATES. Nimebaini kuwa mapenzi yanajengwa na mambo ya kijinga na kipuuzi kama;- -kujitumikisha kama huyo mama pichani. - kunyonya kamasi za mwenza. -kusafisha sehemu za haja kubwa za mwenza kwa ulimi, n.k. ©Kungwi...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani ni nchi moja ya raha sana. Wakiishiwa pesa wanachapisha tu

    Ukisikia nchi ni superpower usichukulie jambo dogo. Kuna faida nyingi sana. Mfano Marekani wakiishiwa pesa wanachapisha tu na kununua vitu kokote. Wanasafiri kutalii nk. Anachofanya ni kuhakikisha anaendelea kuwa superpower na kumdunda yoyote anayeleta fyokofyoko. Ukiwa raia wa nchi kama hiyo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nini unaweza fanya na pesa zilizotumika nunulia mtandao wa Twita takriban Trilioni 102 Tsh?

    Siku chache baada ya tajiri mkubwa duniani kukamilisha ndoto yake ya kumiliki mtandao wa twita wengi wetu ambao hizo namba tunaona ni pesa za kawaida ila sio hivyo kwani tukija mezani unagundua hiyo pesa ya twita tu mwamba Elon musk akiamua tumia bilioni kila siku kwenye matumizi yake, kula...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inampasa mtoto kumtumia fedha mzazi wake hata kama mzazi hana shida ya pesa?

    Nipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha. Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi. Nimekuwa nikiumiza...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    Taifa letu ni shamba la bibi kwa baadhi ya familia na koo fulani. Katika kipindi hichi kuna koo, familia na baadhi ya watu fulani utajiri wao utaongezeka mara dufu yaani. Napenda kuwakumbusha tu taifa hili lina watu maskini wengi sana tena wanateseka mno wakati mwingine kwa sababu ya mifumo...
  9. JamiiForums Tanzania Sio sawa kwa wazazi wenye pesa kuwaficha watoto wao upande mgumu wa maisha

    Maisha magumu hayanaga hodi, ni vema mtu uwe walau una maandalizi yake maana lolote laweza tokea. Kuna malezi haya ya dezo huwa naona ni hatari kwa watoto, ikitokea mara paap mzazi kafukuzwa kazi, biashara imeyumba, katoweka, n.k na hana ndugu wa kuendelea kumlea mtoto wake maisha ya dezo, basi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hii Biashara kuna kupata Pesa nyingi?

    Biashara yoyote lengo ni kupata pesa na kupata pesa mwishowe kuwa tajiri kukua kiuchumi. Naombeni ushauri wenu. Nataka kufungua biashara ya spares za pikipiki. Je mnadhani naweza anza na mtaji wa chini wa tsh ngapi? Pia kama kuna mtu kwa hapa Dar anaweza shauri eneo zuri kwa biashara au...
  11. JamiiForums Tanzania Pesa ni kama mpira, always unatembea (Somo muhimu la mwisho wa mwezi)

    Juma Mgunda ana msemo wake mzuri sana. Anakuambia 'Ball itembee'. Na ukichunguza ni kweli bana, ball ama mpira, muda wote huwa unatembea. Vivo hivyo, pesa kama ball tu, huwa ina kawaida ya kutembea. Ukiwa na pesa mfukoni lazima kutatokea sababu ya kuitumia hiyo pesa kwa sababu pesa siku zote...
  12. JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

    Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha. Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake acheni uchafu kwenye vyumba vyenu mnatia aibu

    Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana. Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu? Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni...
  14. JamiiForums Tanzania Eti, pesa inamaliza matatizo au matatizo yanamaliza pesa?

    Eti, pesa inamaliza matatizo au matatizo yanamaliza pesa? Nipeni muongozo.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Yondani anaweza kupata pesa nyingi kuliko kipindi chote alichocheza mpira

    Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani...
  16. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukata pesa pembeni inaharibu pesa zetu, tuiacheni jamani

    Wabongo ni watu waajabu sana, tuna viimani vya kipumbavu sana, sijui tumetoa wapi tabia zisizo na maana yeyote. Hii tabia ya kukata hela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote, Kila pesa nayoishikilia iwe jero, buku, kaki hata msimbazi hukosi kukuta...
  17. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukata pesa pembeni, inaharibu pesa zetu, tuiacheni jamani

    Wabongo ni watu waajabu sana,tunaviimani vya kipumbavu sana,sijui tumetoa wapi tabia zisizonamaana yeyote. Hii tabia ya kukata ela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote, Kila pesa nayoishikilia iwe jero,buku,kaki hata msimbazi ukosi kukuta haijakatwa pembeni...
  18. JamiiForums Tanzania Tigo pesa ina shida gani leo?

    Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error. Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina tatizo?
  19. JamiiForums Tanzania Pesa By Mr. Blue a.k.a Bizy Bablon, Kabaisa

    Intro: Yeah, Biiizy Babloon/ Herry Samir, Mr. Blue (waelezeeee) Aaahhh Nimetoka Mbaaaaali Mbaliiii mbali mbali ( waelezeeee, waambie ukweli) What's up!! What's up!! Sayi Records (Records), Lazima tusherekee kwa kile kilichofanyika au sioooooo..... Let's Gooooo!!! Verse 1 Nshatembea kwa miguu...
  20. JamiiForums Tanzania Umewahi kumkopesha pesa mpenzi wako na akakulipa bila shida? ulitumia mbinu gani kumdai? Share hapa

    Unajua Kusema 'hapana' ni ngumu wakati mwenzi anaomba pesa tena akionesha ana shida muhimu au vyovyote vile. Lakini kabla ya kusema ‘ndiyo’ jiulize maswali muhimu Atakulipa? Atakulipa kwa wakati? Asipolipa unafanyaje? Uko tayari kudhulumiwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…