Wazee wa jamvi - mkeka ; pesa (boom🤑) uliyomla muhindi-kanji ulifanyia nini Cha kujivunia? Njoo tutoe ushuhuda

Mia saba

JF-Expert Member
Mar 4, 2022
255
389
Ni kweli watu hushinda hadi mamilioni ya pesa Ila asilimia kubwa ya pesa hurudi kwa muhindi.

Binafsi naweza kujivunia kwa kukumbuka niliwahi mla muhindi laki tatu (premier bet), Nikanunua simu mwaka 2013.

Hadi leo nikipigo na kujifariji ligi haijachangamka huku kuliwa kuliwa kikubwa mno.
 
Kwa siku watu wana bet zaidi ya million 20 mdosi anatoa million 1 kwa mshindi. Hii biashara inafilisi zaidi ya tozo.
 
Sioni kama kanji ni wa kulaumiwa ukizingatia wanaocheza ni watu wazima wanajua kuna kushindwa
 
Nimetafuta Sana kijijini hapa kutaka kujua aliyewahi kumla kanjiaba sijampata ...

Sent from Kanjibah state
 
Back
Top Bottom