Jux alivyomwaga pesa kwenye harusi ya Peller.

Jux alivyomwaga pesa kwenye harusi ya Peller.

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
200
Usiku wa kuamkia leo mwanamzuziki Jux pamoja na mkewake Priscilla walihudhuria harusi ya streamer mkubwa kutoka Nigeria anaeitwa Peller akifunga ndoa na mkewake
Jarvis.

Soma zaidi:tofauti kati ya harusi za Nigeria na Tanzania

Watu mbalimbali mashuhuri walihudhuria harusi hiyo akiwemo staa wa muziki kutoka nchini Tanzania jux akiwa na Mama Mkwe wake, waliwatunza pesa za kutosha kwa wanandoa Peller na Jarvis katika usiku huo wa kipekee kwao.

 
Hivi hawa wenzetu pesa za kuchezea hivi wanatoa wapi?
 
Back
Top Bottom