pesa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania ina sheria basi Mume wa Zamaradi atafungwa miaka mitatu, ila pesa na kujuana ni zaidi ya sheria

    Ndio, kila mtanzania anajua mume wa zamaradi anapaswa kwenda jela, na pia kila mtu anajua kuwa hatoenda jela na ataachiwa, na kila mtanzania anajua ni kwanini hatoenda jela, hii ndio tanzania mtu anabaka ushaidi upo ila hafungwi, huku uingereza ninapoishi sasa huwezi kukuta mambo hizo. Asante...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Senti zimepotea kwenye circulation ya pesa. Tatizo ni nini?

    Swali langu nimeshindwa kuliframe vizuri. Nilitaka kufahamu hapo zamani tulikuwa na senti zinazunguka kwenye circulation ya pesa huku mitaani, lakini ghafla zilipotea, na sifahamu ni kwanini. Nchi zingine hata walio tutawala bado wanatumia hizo senti, ukienda Ulaya yote, hata Marekani kuna...
  3. Freightliner

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia boda ya Kasumulu - Kyela na kuwapokonya hela wanaobadili pesa

    Imetokea boda ya Tanzania na Malawi ambapo polisi wamevamia na kuwakamata wananchi wanaochenji hela na kuwapokonya na pia kuwapakia kwenye costa na kwenda kuwalaza vituo vya polisi. Vijana waliosalimika ni wale waliokimbilia upande wa Malawi sasa hatujui kosa ni nini hasa ambalo nchi na...
  4. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kujitambua utaokoa muda na pesa kutafuta suluhisho

  5. T

    JamiiForums Tanzania Nauza account ya admob..ina dollar 30 tayarina barua ishafika

    nauza account ya admob ambayo inaverification tayari na ina usd 30.nicheki whatsapp 0744287850
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

    Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI! Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina...
  7. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Pesa ya Tanzania inatengenezwa na kampuni gani?

    Habari wana JF, Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta chochote ilimradi mkono uingize kitu kinywani, nimejikuta najiuliza sana haya maswali kuhusu pesa ya Tanzania - Je, ni kampuni ipii inahusika kutengeneza na kuprint pesa ya Tanzania? -Iyoo kampuni ikoo wapi na ni private au...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vijana ni wakati wa kupiga pesa kwenye biashara ya mpunga

    Wakati huu maeneo mengi yanavuna mpunga, na tayari mchele mpya umeisha anza kuuzwa, kwa yule kijana mwenye uchu na mafanikio ni wakati wa kutengeneza pesa tena kwa mtaji kidogo. Biashara ya mchele ni biashara ya nzuri na hasara zake ni ndogo kutokana na ukweli kwamba huvunwa nchini kwa muda...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya fedha ni adui wa mafanikio

    Pesa hii ina majina mengi hii ni kutokana na mahali husika wapo wanaita pesa ni sadaka, nauli, zaka, fungu la kumi, Ada, kodi na majina mengine mengi. pesa hiyo ndiyo ambayo hujenga mtafauruku baina ya mtu mmoja na mwingine. Pesa hiyo hiyo tunaimbiwa haina undungu kabisa biana ya mtu mmoja na...
Back
Top Bottom