Kumbe Marekani inaikamua Korea Kusini pesa ya ulinzi kiuonevu

Miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
288
502
Kama unadhani Marekani huwa hafurahishwi na makombora ya korea kaskazini basi jua unajidanganya. Makombora ya korea kaskazini yamekuwa ni mtaji mkubwa wa marekani kuishurutisha korea kusini kulipa kiwango kikubwa cha pesa kwa ajili ya ulinzi.

Hivi karibuni Ikulu ya marekani imeitaka korea kusini kulipa kiasi cha dola billion 4 kama tozo ya ulinzi, iki kiasi korea kusini iliona ni kikubwa na kuomba kulipa $1 bil ila trump kagoma.

Lakini pia kuna ripoti serikali ya korea kusini imelazimishwa na USA kupeleka vifaa vya kujikinga na CORONA

Chanzo: Korea-US defense cost-sharing remains unresolved

Imefika hatua mkuu wa majeshi ya US Korea Kusini anaitania serikali ya Korea Kusini kupitia twitter.

optimize


Kwa hiyo hawa jamaa hata kuungana iwe nchi moja ni ngumu.

Dikteta Park chung hee aliyeifanya korea kusini kuwa nchi yenye uchumi mkubwa alijaribu kuzungumza na Dikteta mwenzie wa kaskazini Kim il sung kuhusu muungano na kukubaliana kuwa muungano usiushe nchi zingine, Marekani alikasirika na mwaka 1979 dikteta park chung hee aliuliwa kwa kupigwa risasi na mtu wake wa karibu kabisa.

Ikumbukwe kuwa Korea Kusini imekuwa ikiongozwa kwa mkono wa chuma mpaka miaka ya 1990 ambapo demokrasia ndio ilianza.

Marekani huwa anaichokoza Korea kaskazini kwa kufanya mazoezi ya kuivamia, ili Kim Jung Un atest mitambo ambayo huwapa korea kusini wasiwasi.

Pamoja na kwamba Korea Kusini haikuwahi kuwekewa masharti ya kutokuwa na jeshi na kuwa na uchumi mkubwa lakini ni nchi dhaifu sana kijeshi mbele ya Korea kaskazini.

Hii ndio ambayo US huitumia kuikamua vilivyo Korea Kusini pesa ya ulinzi.
 
US nawapuuzi wenzie wakimagharibi Kina UK FRANCE na NATO Yao Kiujumla Nimataifa Yakishenzi Sana Yakiuaji Mno Yakinyonyaji Yakinyang'anyi Mno Halafu Mwisho Kabisa Nimataifa yasio Faa Hatakua naurafiki Nayo Kwamaslahi Mazima Yataifa Lenu Nawananchi Kwaujumla Wake

Sent using My COVID-19
 
US nawapuuzi wenzie wakimagharibi Kina UK FRANCE na NATO Yao Kiujumla Nimataifa Yakishenzi Sana Yakiuaji Mno Yakinyonyaji Yakinyang'anyi Mno Halafu Mwisho Kabisa Nimataifa yasio Faa Hatakua naurafiki Nayo Kwamaslahi Mazima Yataifa Lenu Nawananchi Kwaujumla Wake

Sent using My COVID-19

Baada ya hawa maandiko unaenda kupokea pesa za IMF kwaajili ya maendeleo ya mwanao.
Safari yetu ya kujikomboa bado haijaanza.
 
Makombora ya Kim humpagawisha Marekani sio kwa sababu ya kupenda kuhakikisha usalama wa South Korea, hapana, ni kwa sababu ya usalama wa Marekani yenyewe nyumbani kwake (nchi yake) na pia ngome zake zilizopo sehemu mbali mbali ikiwemo South Korea.

Mitambo ya Kim pamoja na kumuogofya Marekani juu ya usalama wake, kwa upande mwingine wa shilingi humpatia pesa nyingi ktk tozo za ulinzi kwa South Korea na Japan.

South Korea anatumika tu, Kim wala hana uadui na ndugu zake hawa. Baadhi ya jumuia za South Korea zimeanza kushtuka kuwa Marekani anawalanguza. Wameiambia Marekani uwepo wake South Korea ni kwa ajili ya usalama wake yenyewe Marekani, na hivyo Marekani yapaswa kuilipa South Korea kwa majeshi yake kukaa ktk ardhi ya wakorea kusini, na si kinyume chake.

2020-04-04 22.53.08.jpg
 
Baada ya hawa maandiko unaenda kupokea pesa za IMF kwaajili ya maendeleo ya mwanao.
Safari yetu ya kujikomboa bado haijaanza.
Minority Represent Majority Ila Ingekua Binafsi Yangu Nisingechukua Mkopo Wa Mtu Niupuuzi Ujinga Na Kukosa Akili Kujisifia Ama Kuwaona Watu Kwakukukopesha Mikopo Tena Yenye Mariba Kedekede Nampaka Mingine Inafikia Kutaka Kuuza Utu Wetu


US Washenzi Sana

Sent using My COVID-19
 
Ufinyu Wako Wakufikiri Hapa Ndio Ulipo Ishia Nawala Sitakaa Nikulaumu
Huyu anapigania dini yake. Hampendi Mmarekani kwa kila afanyacho

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Utawala Ambao Siuelewi Duniani Kama wa Alsaud Au Nawalw Nawachukia Sababu Ya Ukristo Wao ?!

Halafu Hua Nawaelewa Sana NORTH Korea Sijui Sababu Ya Dini Yao Kwakua Kuna Waislam Wengi Kule !?

Pia nawakubali sana RUSSIA na CHINA Napo Nahisi Itakua Kuna Tawala Zakiislam Kule Nawaislam Wengj Sana

Pia Namuelewa Sana CUBA na VENEZUELA Sasa Sijui Napo Naitetea Dini ?!

Hua Siielewi Hata Kidogo MISRI Napo Sijui Wakristo Wengi

Yaani US by Nature Hua Siwakubali Ila Upuuzi Waudini Unauleta Wewe Yaani Unataka Kama Hoja Yamleta Uzi Hapa Niiunge Mkono Inaungwa Mkono Nawatu Wanaotegemea Kipato kwakuwaonea Kuwanyonya Na Kuwadhalilisha Wengine

US Wauaji Wakubwa

US Hatamkiwaona Malaika Niwashenzi Waliokomaaa

Sent using My COVID-19
 
Hakika
Asee ndo maana cjawahi wabeza wairan dhidi ya hatua madhubuti za kiulinzi wanazofanya , kutengeneza silaha zao wenyewe, kuiba teknolojia za kimagharibi, za kichina, kirusi na kuziboresha..
Hili ni katika kuhakikisha suala la la usalama wao ni swala nyeti na muhimu kwa ustawi wa taifa lao..


Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Kunawapuuzi Wanaofanya Hawayaoni Hayo wanamlaumu Kwa Anayo Yafanya IRAN na NORTH KOREA Wanastahili Waheshimike Sana Hapa Duniani Kiukweli Wanaifanya Dunia Iwe Sehemu Ambayo Sio Yawengne Kujiona Bora Kuliko Wengine

Sent using My COVID-19
 
Hata mikwala ya Iran mmarekani huwa anaipenda ili aendelee kutafuna kiulaini pesa za saudia na za waislam kwa ujumla, Waislam kule uarabuni wanayaogopa sana mashia, hivyo mashia yakipiga mkwala inawalazimu waislam waikimbilie ngao yao US ili wawe salama.
Na muda mwingine US huwa anakula njama na mashia yapige mkwala waislam waogope afu yeye apige pesa, na wakishakula njama ya namna hiyo na mashia yanakuwa kwenye mgao. US wajanja sana. Bwana Utam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wakishakula wakashiba bwana..yaani unatumia akili na takwimu gani kusema Korea kaskazini inazidi Korea kusini kijeshi?
 
Asee ndo maana cjawahi wabeza wairan dhidi ya hatua madhubuti za kiulinzi wanazofanya , kutengeneza silaha zao wenyewe, kuiba teknolojia za kimagharibi, za kichina, kirusi na kuziboresha..
Hili ni katika kuhakikisha suala la la usalama wao ni swala nyeti na muhimu kwa ustawi wa taifa lao..


Sent using Jamii Forums mobile app
Iran anatumika kumkamua Saudi Arabia pesa. Trump anapeleka makopo Saudi Arabia na kuwadanganya kuwa ni silaha za ulinzi. Saudi alipoona makopo yanang'aa akajiona mwanaume akaanza kuvamia Yemen. Mpaka sasa anajutia huo ujinga. Na Trump anataka pesa zaidi ili ampe makopo mapya.
 
Watu wakishakula wakashiba bwana..yaani unatumia akili na takwimu gani kusema Korea kaskazini inazidi Korea kusini kijeshi?
Intelligence ya south korea(KCIA) ipo weak. We unadhani statistics tu zinatosha? Ingekuwa hivyo kule vietnam leo ukomunist usingekuwepo. Chiang kai shek asingepokonywa China kirahisi na Mao zedong.
 
Baada ya hawa maandiko unaenda kupokea pesa za IMF kwaajili ya maendeleo ya mwanao.
Safari yetu ya kujikomboa bado haijaanza.

Watanzania wengi na Waafrika kwa ujumla safari bado ni ndefu. IMF na WB pamoja na nchi zote za magharibi hawana pesa ya kuendeleza Afrika. Hiyo pesa wangekuwa nayo Afrika isingekuwa masikini.
 
Watu wakishakula wakashiba bwana..yaani unatumia akili na takwimu gani kusema Korea kaskazini inazidi Korea kusini kijeshi?
Swali zuri sana hili, ngoja tusubiri majibu.

Nadhani mikwara ya Kim na propaganda zake zimewajaa bila kusahau majaribio ya makombora anayofanya mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom