Wale tuliowahi kuliwa pesa zetu na ama chochote kile ki masihara na wanawake, na wale waliowahi kula vya wanaume ki masikhara

Capitrait

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
228
325
Wanawake yeah tumewala ki masikhara ila sisi pia huwa wanatula ki masikhara.....

Sometimes katika harakati za kumfuatilia demu au mwanamke kwa ujumla, unawezajikuta unaliwa pesa zako ki masikhara masikhara hivi halafu mwishoni hupewi papuchi, au unapewa lakini hailingani na uwekezaji uliofanya....

Let's share....!

Au, kwa mwanamke sometimes jamaa anakufuatilia weeee lakini wewe unakula vyake tu lakini papuchi hutoi, ama unatoa lakini haiwiani kabisa na mizigo ya jamaa uliokula....

Let share.....!

Mabibi na Mabwana...!
 
Eti "unatoa ila haiwiani na pesa ulizokula"
Seriously unapimaje kuwa kwa pesa ulizokula unatakiwa utoe mzigo wa namna gani
 
nitumie nauli nakuja kukutembelea wikend hii. baada y dakika tano upo kw wakala kukamilisha muamala.

unapiga simu unaambiwa ndo naoga niende bus stop unajibu sawa.

baadae unapiga tena simu kuuliza kama amesha panda anasema ndio sema alijisahau kukujulisha unasema sawa unaingia bafuni kuoga na kunyoa kabisa huku akili imesha hamia chini huwazi kingine chochote

masaa yana yoyoma ni sehemu ya masaa mawili hadi matatu mtu ankua amesha fika ila wapi humuoni

unainua simu unapiga tena unakutana na makelele ya muziki na sauti za wanawake unaambiwa condakta kaongeza sauti hivyo ukate simu hamuwezi kusikilizana

kumbe bidada yupo saluni anatumia ile nauli kujiweka sawa ili aende kukazwa na mpaka rangi za kucha ndipo unagundua umeliw pesa zako kimaskhara
 
kuna manzi aliwahi mtuma mtu akitaka nimuoe then yupo tayari kugharamia kila kitu, nilimpiga mizinga sana huyu mrembo mpaka alipokuja shtuka kua sina nia nae...
alishanichukia sana hadi kesho.
Huyo manz lazima alikuwa hana sura wala chura 😂😂😂
 
nitumie nauli nakuja kukutembelea wikend hii. baada y dakika tano upo kw wakala kukamilisha muamala.

unapiga simu unaambiwa ndo naoga niende bus stop unajibu sawa.

baadae unapiga tena simu kuuliza kama amesha panda anasema ndio sema alijisahau kukujulisha unasema sawa unaingia bafuni kuoga na kunyoa kabisa huku akili imesha hamia chini huwazi kingine chochote

masaa yana yoyoma ni sehemu ya masaa mawili hadi matatu mtu ankua amesha fika ila wapi humuoni

unainua simu unapiga tena unakutana na makelele ya muziki na sauti za wanawake unaambiwa condakta kaongeza sauti hivyo ukate simu hamuwezi kusikilizana

kumbe bidada yupo saluni anatumia ile nauli kujiweka sawa ili aende kukazwa na mpaka rangi za kucha ndipo unagundua umeliw pesa zako kimaskhara
Huu usenge ndio sipendagi tunayahudumia vitu vingi yanaenda kukazwa na malofa tena na mimba juu
 
Wanawake yeah tumewala ki masikhara ila sisi pia huwa wanatula ki masikhara.....

Sometimes katika harakati za kumfuatilia demu au mwanamke kwa ujumla, unawezajikuta unaliwa pesa zako ki masikhara masikhara hivi halafu mwishoni hupewi papuchi, au unapewa lakini hailingani na uwekezaji uliofanya....

Let's share....!

Au, kwa mwanamke sometimes jamaa anakufuatilia weeee lakini wewe unakula vyake tu lakini papuchi hutoi, ama unatoa lakini haiwiani kabisa na mizigo ya jamaa uliokula....

Let share.....!

Mabibi na Mabwana...!
wala hatupati hasara, kama nakupa pesa na nakukula hasara ni yako,na kama nakupa pesa na sikukuli ujue niko busy na project zingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom