pesa

  1. Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

    Habari ndungu wana JF , Karibuni tujadili mada hiyo hapo juu Ikiwa una mchumba ambae mnapendana kwa dhati lakini lakini hayupo vizuri kiuchumi na amedhamiria kukuoa. Kutokana na tatizo la kukosa pesa hana uwezo wa kulipa mahari kwenu ili muoane. Na kwa upande wako wewe kiuchumi upo vizur.i...
  2. Usalama wa mtu anayetoa pesa kwenye hivi vibanda vya huduma ni mdogo sana

    Usalama wa mtu anayetoa pesa kwenye hivi vibanda vya huduma ni mdogo sana. Leo bi mkubwa alitembelea kibanda kimoja kwa ajili ya kupata huduma ya kutoa salio,na alifanikiwa kutoa kiasi cha mia nane. Baada ya kupata huduma wakati anatoka katika eneo hilo kama hatua tano hivi, ghafla akatokea...
  3. G

    Huyu mtumishi wa Serikali anatoa wapi pesa za kutoa misaada kwa jamii?

    Nadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha...
  4. Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi. Mfano, waweza pata kazi ya kutafsiri website ya kampuni au mtu kwa Kiswahili au kutafsiri kitabu. Unafanya online malipo yanakuwa kwa njia...
  5. Unapata shida kupanga budget yako na namna ya kuzibiti pesa yako njia hii hapa

    Kutoka meza ya mdau. ELIMU YA MATUMIZI YA FEDHA Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kuitumia. Kanuni ifuatayo imetumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye amani. Kanuni •Fungu la kumi 10% •Akiba 30% •Matumizi 40% •Dharura 10% •Msaada 5%...
  6. Serikali iache kuchezea pesa za walipa kodi, Pesa za uchaguzi Serikali za Mitaa zirudishwe hazina mara moja

    Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini? Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini. Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka...
  7. Garama za kutoa na kutuma pesa mitandaoni ni kubwa sana. Kutoa laki 4 kwenye ATM ni TZS 1,000, M-PESA TZS 7,000.

    Gharama ya kutoa pesa na kutuma pesa kwenye mitandao iko juu sana. Hii mitandao ndio inatumiwa sana na sisi wanyonge kwenye kutoa na kupokea pesa ila sasa haiko kwenye kutusaidia bali kutukomoa. Je serikali yetu ya wanyonge hailioni hili? Kutoa pesa kwenye ATM mashine ni TZS 1,000 ila kutoa...
  8. M

    Kama Tanzania ina sheria basi Mume wa Zamaradi atafungwa miaka mitatu, ila pesa na kujuana ni zaidi ya sheria

    Ndio, kila mtanzania anajua mume wa zamaradi anapaswa kwenda jela, na pia kila mtu anajua kuwa hatoenda jela na ataachiwa, na kila mtanzania anajua ni kwanini hatoenda jela, hii ndio tanzania mtu anabaka ushaidi upo ila hafungwi, huku uingereza ninapoishi sasa huwezi kukuta mambo hizo. Asante...
  9. N

    Senti zimepotea kwenye circulation ya pesa. Tatizo ni nini?

    Swali langu nimeshindwa kuliframe vizuri. Nilitaka kufahamu hapo zamani tulikuwa na senti zinazunguka kwenye circulation ya pesa huku mitaani, lakini ghafla zilipotea, na sifahamu ni kwanini. Nchi zingine hata walio tutawala bado wanatumia hizo senti, ukienda Ulaya yote, hata Marekani kuna...
  10. Polisi wavamia boda ya Kasumulu - Kyela na kuwapokonya hela wanaobadili pesa

    Imetokea boda ya Tanzania na Malawi ambapo polisi wamevamia na kuwakamata wananchi wanaochenji hela na kuwapokonya na pia kuwapakia kwenye costa na kwenda kuwalaza vituo vya polisi. Vijana waliosalimika ni wale waliokimbilia upande wa Malawi sasa hatujui kosa ni nini hasa ambalo nchi na...
  11. T

    Nauza account ya admob..ina dollar 30 tayarina barua ishafika

    nauza account ya admob ambayo inaverification tayari na ina usd 30.nicheki whatsapp 0744287850
  12. O

    Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

    Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI! Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina...
  13. Pesa ya Tanzania inatengenezwa na kampuni gani?

    Habari wana JF, Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta chochote ilimradi mkono uingize kitu kinywani, nimejikuta najiuliza sana haya maswali kuhusu pesa ya Tanzania - Je, ni kampuni ipii inahusika kutengeneza na kuprint pesa ya Tanzania? -Iyoo kampuni ikoo wapi na ni private au...
  14. M

    Vijana ni wakati wa kupiga pesa kwenye biashara ya mpunga

    Wakati huu maeneo mengi yanavuna mpunga, na tayari mchele mpya umeisha anza kuuzwa, kwa yule kijana mwenye uchu na mafanikio ni wakati wa kutengeneza pesa tena kwa mtaji kidogo. Biashara ya mchele ni biashara ya nzuri na hasara zake ni ndogo kutokana na ukweli kwamba huvunwa nchini kwa muda...
  15. Matumizi mabaya ya fedha ni adui wa mafanikio

    Pesa hii ina majina mengi hii ni kutokana na mahali husika wapo wanaita pesa ni sadaka, nauli, zaka, fungu la kumi, Ada, kodi na majina mengine mengi. pesa hiyo ndiyo ambayo hujenga mtafauruku baina ya mtu mmoja na mwingine. Pesa hiyo hiyo tunaimbiwa haina undungu kabisa biana ya mtu mmoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…